Kuna kitu mtalaka wangu kanifanyia, haiwezekani mpaka wanaojiuza wananikataa!

WhoWeBe

JF-Expert Member
Dec 18, 2022
2,301
4,243
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao.

Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka kujifia nini; nikammendea mdada mmoja anayejiuza kabisa hapa mtaani. Ni mdada asiye na shida yeyote linapohusika suala la kushare nawe mbususu pale amount fulani inapowekwa mezani. Vijana wakitoka kubeba tofali zao huko na kuhitaji kupumzika basi kwake ni moja ya sehemu ya kupumzikia. Nimemfikia na kukabidhi shida yangu na kuweka faranga mezani ajabu ni kwamba kanitimua......na sasa nikipita mtaani kwake ananinyoshea vidole na kunicheka na wenzake. Si mdada wa hadhi yangu kabisa ila ni upwiru tu ulionisukuma kwake. Sasa nadhalilishwa, nashuka hadhi kwa mtu kama huyu.

Kabla yake nimejaribu kujibebisha kwa x wangu kadhaa, nako hola.....hawataki hata kunisikiliza. Mmoja nikamwambia nimuoe, amekataa. Kabla ya kuvunjika ndoa, huyu alikuwa mstari wa mbele kuomba kuolewa nami.

Kabla ya mfarakano wa ndoa yetu, ilikuwa nawaepuka mimi mwenyewe na ikitokea hata nikimtania tu basi anavyoniganda mpaka nazima simu.

Jamani, kuna michezo ya kuvunjiana mvuto?!!!!
 
Pole sana mkuu.

Kwangu mimi mambo ni tofauti.
Aliwahi kunitamkia kwamba sitapata mwanamke, zaidi nitakuwa malaya tu.
Sijui kama maneno yanaumba, ila kila napogusa imo.

Kuna kipindi nikawa nasali sana ili kama ni pepo Mungu aniepushe nalo.
 
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao.

Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka kujifia nini; nikammendea mdada mmoja anayejiuza kabisa hapa mtaani. Ni mdada asiye na shida yeyote linapohusika suala la kushare nawe mbususu pale amount fulani inapowekwa mezani. Vijana wakitoka kubeba tofali zao huko na kuhitaji kupumzika basi kwake ni moja ya sehemu ya kupumzikia. Nimemfikia na kukabidhi shida yangu na kuweka faranga mezani ajabu ni kwamba kanitimua......na sasa nikipita mtaani kwake ananinyoshea vidole na kunicheka na wenzake. Si mdada wa hadhi yangu kabisa ila ni upwiru tu ulionisukuma kwake. Sasa nadhalilishwa, nashuka hadhi kwa mtu kama huyu.

Kabla yake nimejaribu kujibebisha kwa x wangu kadhaa, nako hola.....hawataki hata kunisikiliza. Mmoja nikamwambia nimuoe, amekataa. Kabla ya kuvunjika ndoa, huyu alikuwa mstari wa mbele kuomba kuolewa nami.

Kabla ya mfarakano wa ndoa yetu, ilikuwa nawaepuka mimi mwenyewe na ikitokea hata nikimtania tu basi anavyoniganda mpaka nazima simu.

Jamani, kuna michezo ya kuvunjiana mvuto?!!!!
Cheki na mganga wako. Huyo mwanamke kakuzibia kitengo nyeti sana.
 
Hii nayo kali, sema haya mambo yapo mkuu. Shida ya kuachana na mkeo ni nini hasa, ebu tuanzie hapo kwanza.
 
Miezi kadhaa sasa tangu niachane na aliyekuwa mke wangu, nahaha kutafuta mbadala bila mafanikio. Kila ninayemsiamamisha haishii kunikataa tu bali kunicheka kabisa; tena wengine kwa kunionyesha vidole kabisa nikipita wakiwa na mashostito wao.

Juzi upwiru ulizidi kiwango, nikaona nachotaka kujifia nini; nikammendea mdada mmoja anayejiuza kabisa hapa mtaani. Ni mdada asiye na shida yeyote linapohusika suala la kushare nawe mbususu pale amount fulani inapowekwa mezani. Vijana wakitoka kubeba tofali zao huko na kuhitaji kupumzika basi kwake ni moja ya sehemu ya kupumzikia. Nimemfikia na kukabidhi shida yangu na kuweka faranga mezani ajabu ni kwamba kanitimua......na sasa nikipita mtaani kwake ananinyoshea vidole na kunicheka na wenzake. Si mdada wa hadhi yangu kabisa ila ni upwiru tu ulionisukuma kwake. Sasa nadhalilishwa, nashuka hadhi kwa mtu kama huyu.

Kabla yake nimejaribu kujibebisha kwa x wangu kadhaa, nako hola.....hawataki hata kunisikiliza. Mmoja nikamwambia nimuoe, amekataa. Kabla ya kuvunjika ndoa, huyu alikuwa mstari wa mbele kuomba kuolewa nami.

Kabla ya mfarakano wa ndoa yetu, ilikuwa nawaepuka mimi mwenyewe na ikitokea hata nikimtania tu basi anavyoniganda mpaka nazima simu.

Jamani, kuna michezo ya kuvunjiana mvuto?!!!!
Nafikiri kakupakazia ukuwa umeukwaa:)
 
Pole Mkuu ila hilo kombora Hata Mrusi hana yan hadi malaya wanakukataa
 
Show ndogo kabisa hiyo
 
Kwaiyo wewe kwako kimavi nikukatiliwa na wanawake ,omba asiwe amekupiga kimavi kukosa michongo ya hela hapo ndo pabaya.
 
Hebu jaribu kupiga hata wehu wa mtaani nao wakigoma itakuwa umerogwa kweli na sidhan ka utachomoka utakufa mashine imesimama hatari sababu ya huo upwiru aka nyege mshindo isio na kikomo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom