ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,595
Mradi wa Bomba la Uganda na Tanzania wa Hoima Hadi Tanga unaendelea kukumbwa na misukosuko kufuatia taarifa za kujitoa Kwa Benki 9 kati ya 10 ambazo ni washirika na zilikuwa zitoe Fedha za mkopo kujenga mradi..
Waliojitoa ni sababu zile zile za kijinga kwamba eti utachagua mazingira na blaa blaa kama hizo.
My Take.
Uganda, DRC na Tanzania Watumie pesa za Ndani Kumfadhili Ujenzi vinginevyo hii ya kusubiria Wazungu Haitafaulu maana Wana wivu.