Kuna athari yoyote kwa mama au mtoto endapo mama hatofanya mapenzi kipindi chote cha mimba?

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,845
2,017
Habarini wana JF,

Hivi kuna athari au madhara yoyote yanayoweza kujitokeza kwa mama au mtoto endapo mama hatafanya mapenzi tangu mimba ikiwa changa hadi siku ya kujifungua?
 
Back
Top Bottom