Kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere bila kuliheshimu Azimio la Arusha ni unafiki.

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,564
3,472
Ni vigumu sana kwa Nchi yangu Tanzania kuwa katika kumbukizi sahihi ya wosia tulioachiwa na Hayati Baba wa Taifa kutokana na ukweli kwamba tumesahau kuwa Azimio la Arusha lilikuwa ni sauti ya Taifa kupitia Baba wa Taifa.
Tunafutwa na mzimu wa sauti hiyo sasa kila tunapomtaja Baba wa Tafa.Nimejaribu kufuatilia hotuba nyingi za Marais waliofuata baada ya Hayati Baba wa Taifa wakilitaja Azimio la Arusha mara kadhaa sasa kila wanapotagia kusema juu ya mazuri tuliuoachiwa na Baba waTaifa sauti ya Azimio la Arusha ikitoka kwenye vinywa vyao hata kama ni neno tu "Azimio la Arusha".
Bado ninaamini hatujamuenzi Muasisi huyu kwa dhati ingawa zipo jitihada nyingi za kuhakikisha tunamuenzi na kuyaheshimu mawazon bora ya Taifa hili kutokana na Azimo la Arusha kuishia kutajwa tu na siyo kupewa sifa stahiki.
 
Asante kutukumbusha. Kumuenzi Baba wa Taifa:CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla, Je Tunamuenzi Baba wa Taifa kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo?, Tunamuishi?.
Nawatakia maadhimisho mema na mapumziko mema ya Nyerere Day.

P
 
Back
Top Bottom