Kumridhisha kila mtu ni vigumu....sema tu na moyo wako!!!

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Wanajamvi habari?
Nionavyo mie katika maisha yetu kama kuna kitu ambacho kinatuboa wengi ni maswali yasioisha na hata pale unapodhani umewaridhisha wauliza maswali...lolz...usijidanganye ndio kwanza yanaanza. Kikubwa ni kuelewa tu MASWALI hayatakaa yaishe na wewe ukifanya jambo lako jitahidi kujiridhisha wewe kabla hujataka kumridhisha mwenzio. Hebu tuangalie hapa chini baadhi ya maswali ambayo hutokaa huyakwepe..

When you're single, people ask about gf/bf.

When you have one, they ask is there any future?
When you have a fiance/fiancee, they ask about wedding?
When you get married, they ask when will you have a baby?
When you already have one, they ask when is little brother or sister coming?
When you get divorced, they ask why?
If you move on, they ask why so quickly?

Kiufupi.. people will never stop asking...And, If you're proud of who you are and you don't care about what people think about you, stick with what you think is worthy for you, because it's YOUR LIFE and YOU alone should decide how to LIVE IT.

Karibuni kwa mjadala...........
 
Si ajabu ukiulizwa maswali hayo na wewe ukauliza mengine; Qn:Are you single? Ans: Unanitaka?
Ndo maana hayaishi.
 
Kwa hiyo inakuwa 'vicious circle'?...lolz
Swali juu ya swali...

Si ajabu ukiulizwa maswali hayo na wewe ukauliza mengine; Qn:Are you single? Ans: Unanitaka?
Ndo maana hayaishi.
 
kuna story ya yule aunt mzee alikuwa kila akikutana na harusi anamwuliza mpwa wake "when will it be your turn?"
siku moja wakakutana na watu wanaenda kuzika binti akamwuliza aunt "when will it be your turn?"
palitaka kuchimbika, lol!
 
Inaonyesha hili swali la utaoa/utaolewa lini linaulizwa sana eh?
Lakini umeona FP hata ukishakubali kuoa/kuolewa utaulizwa tena 'vipi ndo uzazi umegoma mbona hatuoni'?

Last edited by a moderator:
ha ha haaaaaa!
Hayo ndo majibu mazuri kwa waulizaji maswali kwa wenzao

kuna story ya yule aunt mzee alikuwa kila akikutana na harusi anamwuliza mpwa wake "when will it be your turn?"
siku moja wakakutana na watu wanaenda kuzika binti akamwuliza aunt "when will it be your turn?"
palitaka kuchimbika, lol!
 
Huwezi kumridhisha kila mtu cause binadamu tumetofautiana kila mmoja na mtazamo wake! Utaweza kumridhisha yule tu anayedeserve kuridhishwa na wewe!
 
Inaonyesha hili swali la utaoa/utaolewa lini linaulizwa sana eh?
Lakini umeona FP hata ukishakubali kuoa/kuolewa utaulizwa tena 'vipi ndo uzazi umegoma mbona hatuoni'?
la muhimu ni kuishi maisha yako, maswali kila siku yapo tu
maana ukizaa wengi wanakuuliza "kwani Mungu aliposema mkazao muongeze ulimwengu aliwaambia peke yenu?"
 
Asante
Tuko pamoja..
Ila nimependa hapo kwenye red..

Huwezi kumridhisha kila mtu cause binadamu tumetofautiana kila mmoja na mtazamo wake! Utaweza kumridhisha yule tu anayedeserve kuridhishwa na wewe!
 
Ndo maana nikasema mara nyingi ni bora kusikiliza moyo wako..ili hata ikitokea ukamess up..basi unajinyanyua ..kisha wajifuta vumbi na kusonga mbele...hawachelewi kukuambia..'wanajidai wazungu mtoto mmoja tu mwaka wa tano sasa wakati wana mihela'...

la muhimu ni kuishi maisha yako, maswali kila siku yapo tu
maana ukizaa wengi wanakuuliza "kwani Mungu aliposema mkazao muongeze ulimwengu aliwaambia peke yenu?"
 
Ni kweli na vizuri maana kuna watu wakiona kitu wanataka tu kuuliza wengine, sawa yawezekana yeye hilo kaweza lakini yapo mengine kama hilo!
Safi! siku nyingine anaogopa kuukiza wenzie!:smile-big:

umeona eeeh!
hiyo ndo ilikuwa mwisho wa kuulizwa hilo swali toka kwa bibi, lol!
 
Huwa na wewe yanakukuta mkuu??
Manake kila siku mbona hivi na sio vile?...lolz
Hahaha we wacha tu, mimi yananikuta sana kwa wototo zangu kwanini nawasomesha private school, kwanini nawapa wanacho kitaka, kwanini huwa haziishi na unajua watu gani wanao uliza hayo sio ndugu zangu kwa baba na mama ni cousin zangu tu...Mhhh haswa yule mama yangu mdogo, mpaa kunawakati anasema nimerogwa na wife lolz:biggrin:
 
Dawa yao ni kutia pamba tu masikioni bro..
Do what you think is right for you..

Back
Top Bottom