Kumnbe jk ana uhusiano wa kidamu na wadosi!!

Gerald HANDO wa Clouds leo asubuhi amefafanua kuwa lile si bembea.....ni chombo maalum cha utalii.... na kuwa JK alikuwa mapumzikoni kama alivyoshauriwa na madakatari....magazeti yametuambia eti ile ni ziara ya kikazi.....sijui tumwamini nani.
 
nimewahi kuishi india miaka 3 ya kusoma, na nimekaa uhindini upanga ktk nyumba ya msajili miaka 10 na baada ya hapo nyumba iliuzwa. Katika ufahamu wangu wa hawa ndugu zetu wa kihindi, kutinga mabembea kwao ni utamaduni, katika nyumba zote za wahindi nilizobahatika kuingia, sikukosa kuona bembea hata moja. Majuzi tu nilipomuona mheshimiwa akitinga mabembea kule jamaica, hapo ndipo liliponijia wazo na swali kuwa huenda mheshimiwa akawa na uhusiano wa kidamu na wadosi! Kwa sababu tu hili ni wazo langu, naomba yoyote mwenye data za mheshimiwa amwage
ushauri wa bure kwa mtoa mada, kama unatumia pombe acha mara moja!
 
Gerald HANDO wa Clouds leo asubuhi amefafanua kuwa lile si bembea.....ni chombo maalum cha utalii.... na kuwa JK alikuwa mapumzikoni kama alivyoshauriwa na madakatari....magazeti yametuambia eti ile ni ziara ya kikazi.....sijui tumwamini nani.

kakakaka mwambie huyo niliem-bold afute kauli la sivyo atakua anamzalilisha daktari wa ikulu.

tunajua huyu mkubwa mara nyingi hupata kizunguzungu sasa kwenye ile bembea (ambayo nyie mnaita chombo maalum) na kwenye ndege/gari ni wapi kuna kizunguzungu? na vile mama yetu alivyo kua amekaa pale na vazi lile hivi ingetokea emergence yeyote ingekuaje?

wewe safari ni safari umenipata hapo?
 
bila kusahau juisi ya parachichi nayo inatibu ugonjwa wa kusahau.............................mwandishi amechanganya mambo au hakuona vizuri....rais hakuna anabembea alikuwa akibembea huku anatalii......msichanganye mambo........
Pia ajaribu kunywa maji yatamfaa zaidi
 
nimewahi kuishi india miaka 3 ya kusoma, na nimekaa uhindini upanga ktk nyumba ya msajili miaka 10 na baada ya hapo nyumba iliuzwa. Katika ufahamu wangu wa hawa ndugu zetu wa kihindi, kutinga mabembea kwao ni utamaduni, katika nyumba zote za wahindi nilizobahatika kuingia, sikukosa kuona bembea hata moja. Majuzi tu nilipomuona mheshimiwa akitinga mabembea kule jamaica, hapo ndipo liliponijia wazo na swali kuwa huenda mheshimiwa akawa na uhusiano wa kidamu na wadosi! Kwa sababu tu hili ni wazo langu, naomba yoyote mwenye data za mheshimiwa amwage

Are you serious with this!!!!!
 
Back
Top Bottom