Kumi nyotaa... Kumi msalabaaa ...

Status
Not open for further replies.

Kowan

Member
Mar 15, 2011
62
1
Wa TZ umefika wakati muafaka kuacha UNAFIKI... REGARDLESS OF WHO IS LEADING US.... NYERERE BEWITCHED US... mpango ni CHRISTIANS 10....n...MUSLIMS 10.

HATA KAMA TAIFA LAUZWA... TAKE CARE WANAJAMIII WA SIASA mpo?
 
Kowan .......kuna kathread ulikaweka kwenye urafiki,mapenzi na mahusianao
hukueleweka ok jaribu kuingia kwenye brain icons kwa kutumia wanasaikolojia
huenda watajua tatizo lako.......weka mada kisha uwaambie kuwa threads zangu
huwa hazieleweki na wanajamiiF.

ushauri:uwatumie wanasaikolojia wa jamiiF.
 
Wa TZ umefika wakati muafaka kuacha UNAFIKI... REGARDLESS OF WHO IS LEADING US.... NYERERE BEWITCHED US... mpango ni CHRISTIANS 10....n...MUSLIMS 10.

HATA KAMA TAIFA LAUZWA... TAKE CARE WANAJAMIII WA SIASA mpo?

Na wasio wakristu wala waislamu?
 
Kama kweli wewe ni mkeleketwa wa udini...........Anza na zanzibar Christians 10 na Muslims 10 ndio uje kumalizia bara na huo mpango wako wa kuendekeza udini. Hapo sisi wa bara tutakuwa tumejifunza uzoefu wao kuchagua viongozi kwa kigezo cha dini.
 
Wasio Waislamu wala Wakristo 10, dini ya mashetani 10, wanawake 10, walemavu 10, wahindi 10, waganga wa kienyeji 10, vijana 10, wanajimu 10, wachaga 10, wanyakyusa 10 na kila kabila nchini 10.

Na wasio wakristu wala waislamu?
 
Wasio Waislamu wala Wakristo 10, dini ya mashetani 10, wanawake 10, walemavu 10, wahindi 10, waganga wa kienyeji 10, vijana 10, wanajimu 10, wachaga 10, wanyakyusa 10 na kila kabila nchini 10.

Wanawake 10,mashalobalo 10,wasanii 10,wana bongo flava 10 etc etc
 
Wasio Waislamu wala Wakristo 10, dini ya mashetani 10, wanawake 10, walemavu 10, wahindi 10, waganga wa kienyeji 10, vijana 10, wanajimu 10, wachaga 10, wanyakyusa 10 na kila kabila nchini 10.

Mashoga 10

Majambazi 10

Wasagaji 10

Waganga wa kienyeji 10

Makahaba 10
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom