Kumi na moja bila kuchomoa

Una uhakika ni bao 11?

Ok, kuna jamaa ilikuwa siku yake ya kwanza kufanya ngono. Alikuwa mkubwa tu 28 hivi. Kampata mwanamke kaenda naye faragha.

Kamalizana naye alafu akarudi kijiweni kuwahadithia wenzake. 'Wanangu eeeh, nimepiga bao 11'.

Wenzake wakatamanika kutaka kujua kawezaje. Ndo akawaeleza alikuwa anachomeka na kuchomoa. Yaani ile ingiza chomoa, ingiza chomoa

Vijana mnaita 'tako'. Alipiga tako 11 akaachia wazungu. Yeye anaita bao 11.

Ukute mwenzako naye alikuwa kama mwenzako.
woiiih
 
MWALIMU NYERERE ANAMALIZA KWA USHAIRI KWENYE KITABU CHAKE.

UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.

Ole wake Tanzania Tusipoisaidia
Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya nimeonya.

tahadhali nimetoa ushauri na kuonya nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini.

Namlilia Jaalia atumulikie njia Tanzania ailinde WAOVU wasiishinde.

Amina Tena Amina Amina Tena amina


UONGOZI WETU NA HATMA YA TANZANIA.
MWALIMU JK NYERERE
 
Wakuu salaam.

Nimekutana na jamaa hapa ananiambia ashawahi kupiga goli kumi na moja kwa usiku mmoja.

Hii kitu inawezekana kweli? Kuna mtu ambaye ashawahi fikisha?

Nawasilisha.
Mimi niliwahi piga goli 7 ndani ya usiku mmoja ilikuwa 2007. Nikiwa na mke wangu sasa pale bondeni hotel. sita sahau hiyo siku. nililala usingizi wa hatari.

Baada Ya Hapo Sijawahi Fikisha goli 7 tena mara nyingi ni 4 hadi tano. Kuna siku nikipiga 5 kidogo nianze kupiga dege dege . acheni kabisa

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo huwa ni changamoto sana, 2010 wakati Jakaya anatangazwa mshindi nilikuwa kijijini kwetu enzi hizi sijaoa, baada ya matokeo kutangazwa nakumbuka ilikuwa Ijumaa usiku wa saa 2-3, maCCM huko yakaanzisha shamra shamra kuelekea makao makuu ya kata, mie nimelala zangu home mida ya saa 5 mlango wa chumba changu ukagongwa, kufunga mlango nakuta ni bwana mdogo na demu wangu, kiuhalisia nilikesha, saa 10:30 alfajiri nikamsindikiza home kwao wakiwa bado wamelala umbali wa 1km. Nikarudi kulala na uchovu saa 12:00 asubuhi Jumamosi (sabato) naamshwa kuna mgeni anaelekea Ukerewe nimsindikize kwa baiskeli! Karibu 5-6km kutoka kwetu hadi sehemu ya kivuko! Mgeni mwenyewe alikuwa wa kiume (a pastor) na kilo zake za kutosha, nikakomaa na baiskeli nikamfikisha kivukoni, nikarudi nyumbani, nilivyofika njaa ikawa inauma hatari ukizingatia kijijini kwetu hawana utaratibu wa kupika chai nilikuwa nahisi kizunguzungu nikaamua asubuhi hiyo kwenda kujisalimisha kwenye miti ya maembe ya majirani ndiyo ikawa pona yangu. Baadae namuuliza dogo wewe uliona nimekesha na kiumbe humu halafu asubuhi tena unanipa kazi! Dogo akajitetea kuwa alifanya hivyo sababu mimi ndiyo nilikuwa nafahamiana vizuri na huyo mgeni ( mchungaji), akanambia ningemweleza ampeleke yeye.
 
Back
Top Bottom