howard
Senior Member
- Feb 21, 2011
- 188
- 28
Magari ya yakiwa yamebeba mitambo ya kufua Umeme ya Kampuni ya SonGas yakiwa yamepaki nje ya Kampuni hiyo tayari kwa kuingizwa ndani. Mitambo hiyo iliyobebwa na magari hayo inadaiwa ni moja ya jitiada za kampuni hiyo ya SonGas ya kuanza kuzalisha umeme baada ya mitambo ya DOWANS kuzimwa na kusababisha tatizo la umeme ambao bado ni tete hadi sasa kutokana na mgao unaoendelea usiojulikana mwisho wake. (credit: Muhidini Sufiani)