LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,348
- 3,219
Hali ninayoiona hapa mahakama kuu ni kwamba wafungwa wote wamegoma kushuka kwenye karandinga lile la police. Na wanacholenga ni kutaka haki yao isikilizwe. Na wanataka mwandishi wa habari aletwe waweze kueleza haki yao. Nipo hapa mahakamani na nitawajuza.