Kumbukizi za kufumania au kufumaniwa

Rumi96

JF-Expert Member
Sep 17, 2019
778
1,814
Wakuu habari za wakati huu.

Basi, ikiwa ni hatua za kibinadamu kupita katika nyakati kadhaa, kwenye kila nyanja kuna changamoto.

Wazee wa kusaka nyapu, tumewahi fumaniwa au kufumania.

Binafsi nimewahi kumfumania kaka yangu miaka ya 2012 chumbani kwa beki tatu kipindi shemeji akiwa safari kikazi.

Ilikua hivi, beki tatu nilikua nakula mzigo, mida yangu ya kazi ilikua saa 6 usiku. Nilikua nazuga nasoma kumbe akili yote inawaza K. Basi siku hiyo sikusoma nililala mapema, chumbani kwa housegirl hakukuwa mlango, lilikuwepo pazia.

Nimeshtuka usiku, nikawaza mida ya kazi kumshtua mtoto nipige kazi, basi nikanyata kulelekea chumbani kwake, mara nasikia miguno! Nikaingiwa na wivu, kudadadeki bro anakula demu wangu.

Nikawasha taa, asee bro alikurupuka. Nikazima taa nikasepa usiku sikulala, nawaza bro ametanua njia ya demu wangu. Kesho yake bro hata kunitazama hakuweza, siku moja akaniambia tu, shemeji yako asijue.

Kama umewahi fumania au fumaniwa tupia hapa tufurahi.
 
Kumbe bado unakaa kwa Kaka yako na unakula beki3 wake? Hapo HUJAFUMANIWA mzigo ni halali wa Kaka yako
 
Kama ungekuwa na hekima usingethubutu hata kusogea as long as huyo beki tatu si mkeo na una uhakika kuwa yuko na brother wako wa damu. Hauna nidhamu.
 
Mimi na bro zangu ilikuwa tunapeana tu gwala. Kwenye hiyo sector tuheshimiane tu nashukru walikuwaga waelewa kila mtu anakula kwa time yake.

Imetufanya mpaka leo nikitaka demu wake ambaye hajamuoa ananiachia tu nijaribu bahati au akitaka wa kwangu hivo hivo hata mtungo analiwa akikaa vibaya. Kama anatumia kilevi ugoro utamuhusu au tissue kwisha habari.
 
Unaweza kula demu anakula kaka yako? Hhuoni kinyaaaa, ok basi hata kuwa na heshima kwa kakako.
 
Aisee, katika mishe mishe zangu narudi home usiku, hamad, nawafumania paka wanajamiiana, kwa style ya cat-style
 
Back
Top Bottom