Kumbe wivu wa mapenzi unauma hivi?

Billie

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
12,726
19,874
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.
 
kweli huo ni uchoyo, na hasa pale unapotaka kuwa mmiliki pekee wa kipochi manyoya...
 
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.

Sikiliza Bwn Mdogo, hapa penye red pana tatizo kubwa. Kuna vitu vingi vya kushare lakini siyo mapenzi. Ukiona mtu hana wivu juu ya Mwenzi wake basi ujue kuna kasoro kubwa ya kimaumbile au laa ujue huyo mhusika hana hata tone moja la mapenzi dhidi ya mpenzi wake.

Wivu ni kama chachu ya mapenzi ingawa nakubali kuwa ikizidi huwa ni tatizo kubwa. Hujakosea hata kidogo kumuonea wivu mkeo maana hii inaonyesha upendo pia (ingawa hatugurantee hilo) kwa kiasi fulani .

Bado siamini kuwa kuna mapenzi bila degree fulani ya wivu ingawa nakiri wazi kuwa upo wivu wenye asili ya chuki ambao mtu huwa nao ili mwingine asifanikiwe kwenye mahusiano ya wawili.
 
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.

bora umerelax, bila hivyo kuendekeza wivu unakuwa kama msukule.
 
Wivu wa Mapenzi unauma asikuambie mtu... Speaking from experience....
ni kitu ambacho kama inawezekana kugawa kwa mtu wampa na mahela mengi hata mamilioni unatoa tu!
 
Acha mambo yako, hivi siasa ni nin hasa kwenye MMU?

Pole kama nitakua nimekukwaza.......halikua lengo langu.

Kwa kifupi, mimi ninaamini katika upendo wa bila kushare na mtu mwingine yeyote. Sipati picha kushare mpenzi wangu namtu na linapokuja suala la wivu kila mtu na mtizamo wake ndio maana nikaita siasa. Ninaposema siasa ni kwamba kila mtu anamtizamo wake na hakuna markig scheme kama ukisema hivi umepatia au umekosea..........majibu yote ni sawa. Mi sipendi siasa maana ni mchezo mchafu....(ninavyoamini), sipendi kuwa kinyonga......hasa linapokuja suala la mapenzi.
 
Wivu wa Mapenzi unauma asikuambie mtu... Speaking from experience....
ni kitu ambacho kama inawezekana kugawa kwa mtu wampa na mahela mengi hata mamilioni unatoa tu!

AshaDii usicheze na hiyo kitu usiombe itokee kwa wenzi wa muda ambao hawakuwa na makwazo kwenye safari yao ya kimapenzi.Nimekula nusu chapati kisa wivu pumbafu who bring this?
 
Nimejikuta nasema potelea mbali hata akimmega si na mimi ntakikuta provided that asimchukue jumla.
 
Nipo mbali na mpenzi wangu kimetokea kitu kidogo ambacho kimenipelekea nijisikie ka wivu fulan ila nimejikaza sijakurupuka nipo nakitafari extent ya ukweli wake.
Tuna miaka mingi(10yrs) na ka beb boy kamoja.
Sijawahi kupata hofu na mpenzi wangu ya kiasi hiki.Cha ajabu hofu imenipelekea hadi kujiuliza source ya wivu nini kwenye mind ya binadamu? Nimejijibu majibu mengi ila conclusion niliyofikia ni kuwa wivu chanzo chake ni UCHOYO na ROHO MBAYA kwa kuwa nimegundua hatupendi kugawana vitu vizuri na wenzetu ikiwemo kale ka kipochi manyoya na asumani kichwa wazi.Kwa kweli baada ya kujijibu hivi kidogo nimerelax.JE MWENZANGU UNATAMBUAJE SOURCE YA WIVU KWENYE MIND YA MWANADAMU.
naomba unifafanuliw hapo kwenye red maana yake ni nini? nimeachwa njia panda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom