Kumbe walipewa ruhusa kutofuata sheria, deadline imeisha kabla ya kazi kukamilika.....

BIN BOR

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,013
407
"kuanzia leo watu wote lazima wafuate sheria hukuakisisitiza kuhusu jambo hilo amesema 'mambo ya kutofuata sheria, mambo ya kudhani kuna wengine wako juu ya sheria yamepitwa na wakati kuanzia leo" Kova
 
Tumeyasema hapa siku zote IKULU na Polisi ndio waliokuwa wanabariki yote hayao sasa nadhani aibu imewashika makanisa kumi nanne kuchomwa katika siku mbili imewasitua wanaogopa dunia itawasema lakini watawapa ruhusa kutenda wayapendayo
 
Tumeyasema hapa siku zote IKULU na Polisi ndio waliokuwa wanabariki yote hayo sasa nadhani aibu imewashika makanisa kumi nanne kuchomwa katika siku mbili imewasitua wanaogopa dunia itawasema lakini watawapa ruhusa kutenda wayapendayo

Ikulu inatajwa kuhusika back tangu enzi za Marehemu Dr Omar Ali Juma (aliyekuwa Makamu wa Rais enzi za utawala wa Mkapa), ikaja wakati wa Dr Sheni na sasa hata wakati Dr Bilali. Kuna kitu kinatajwa tajwa kuwa kuna vikundi fulani vya kiislamu vyenye misimamo mikali vinapata direct support from that office. lakini ikitumika pese ya walipa kodi wote. kutajwatajwa huku kunaanzia toka 2003. Kwa wenye kumbukumbu, mnakumbuka Mch Mtikia amewahi kulitamka mahala fulani?

Polisi hawajitengi. Ndiyo wamekuwa walinzi wa mikutano ya mihadha inayofanywa na wakina Mazinge, Sule, Yahya na wenzao. Wamekuwa wakiwaacha kuendelea kutukana imani nyingine bila shida. Kuna wakati walifanya mkutano pale njia panda ya Kigogo kwa sponsorship ya yule mpemba anayekaa jirani na kale kauwanja pamoja na wenzake. Polisi walipokuja, Yahaya aliongeza kuporomosha maneno ya chuki na keheli dhidi ya wakristo na ukristo. Cha ajabu Polisi waliokuwa ndani ya Land Rover-Defender walikuwa wanacheka namwingine akawa anasema mwaga dozi kwa sauti ya kati akijua wote waliopo karibu na ile Defender ni waislamu.
Polisi hao hao wamekuwa wanazuia ama kuivuruga mikutano ya wakristo ambayo inakuwa mahususi kwa ajili ya kufuta uchafu/sumu iliyomwgwa na mikutano ya waislamu. Vikundi vya Biblia ni Jibu ni vikundi vyenye rekodi ya juu kwa mikutani yao kuzuiliwa na Polisi ama kuvurugwa na Polisi. Muulize Mzee Simbaulanga, Mazagaza, L Kobelo ama D Mwankenja watakupa data kamilifu.
Kuna mara kadhaa Mch Mtikila amekuwa akiwasaidia hivi vikundi vya kikristo katika masuala ya kisheria ili Polisi wasiwanyanyase.
 
Kuna mhadhara mkubwa unarindima kila siku jioni pale mwenge stendi! sio mbali sana kuna kituo cha polisi na wanabariki ukristu kutukanwa......aibu imewashika!
 
Hivi navocomment huo mhadhara uko unaendelea cha kushangaza wanahubiri uislamu kwa kutumia BIBLIA.
 
Acha kupotosha, ingekuwa ni kweli wasingeuliwa waislam mwembechai.
Hauwezi kuthibitisha unachoongea, chuki zenu hazifui dafu.
 
Haya polisi na maintelejensia mpo humu Jf, nendeni na mabomu yenu. Si mmesema leo mwisho wa kwenda kinyume cha sheria? Wapo hapo Mwenge stendi. Waulizeni wana kibali cha nani na kwa nini kutukana ukristu kila ifikapo usiku?
 
Hivi navocomment huo mhadhara uko unaendelea cha kushangaza wanahubiri uislamu kwa kutumia BIBLIA.

Wamedekezwa sana hawa ingekuwa mkristo kashika msahafu basi masaburi yangewabana hadi basi
 
Acha kupotosha, ingekuwa ni kweli wasingeuliwa waislam mwembechai.
Hauwezi kuthibitisha unachoongea, chuki zenu hazifui dafu.

Si uonyeshe wapi niliposema uongo halafu wewe uandike ukweli. Mbona kunishambulia?

Ikiwa unasema "ingekuwa kweli waislamu wasingeuliwa Mwembechai...mi nitakuuliza waliuliwa na nani na nini kilikuwa chanzo?
Hivi pesa wanazopewa waislamu na kwenda hijja kutoka serikalini zinachomolewa fungu lipi na zinapitishiwa ofisi gani? (najua wako wanokwenda hijja kwa pesa zao, hao wengi je?)
 
na wewe hapo chini umetoka wapi watu tunaongelea mambo ya sasa wewe unaleta mambo ya mwembe chai ya mwaka arobaini na saba vp mzee umefufukia wap?
 
Si uonyeshe wapi niliposema uongo halafu wewe uandike ukweli. Mbona kunishambulia?

Ikiwa unasema "ingekuwa kweli waislamu wasingeuliwa Mwembechai...mi nitakuuliza waliuliwa na nani na nini kilikuwa chanzo?
Hivi pesa wanazopewa waislamu na kwenda hijja kutoka serikalini zinachomolewa fungu lipi na zinapitishiwa ofisi gani? (najua wako wanokwenda hijja kwa pesa zao, hao wengi je?)
achana nae huyo hajui alisemalo mwembechai tumeshasahau ye ndo analeta leo
 
Kuna mhadhara mkubwa unarindima kila siku jioni pale mwenge stendi! sio mbali sana kuna kituo cha polisi na wanabariki ukristu kutukanwa......aibu imewashika!
Ingia hata youtube video zao za Kukashfu ukristo zimejaa kibao..mi nashangaa sijui kwann?
 
Sijui waislam wamekokosea nini una chuki mbaya sana wewe ingekuwa amri yako ungewauwa waislam wote tanzania.

pumbaf wewe na wajinga wenzio mnaopenda kukosoa na mkikosolewa mnakabwa na jazba. Ndo maana mnalilia muislamu mwingine aingie ikulu ili muendeleze ujinga aloufanya jk! Dini gani hii kiongozi mpaka awe na majini?
 
Back
Top Bottom