Kumbe wala tulikuwa hatuuchukii ufisadi

Nimelitafakari hili suala kwa muda mrefu kidogo sasa na nadhani nina kila sababu za kuhitimisha kuwa sisi kama taifa kwa ujumla wetu hatuuchukii ufisadi.

Na kwa kutambua au kutokutambua tayari tumeshaukubali. Tumeukubali kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

Kwa vile tumeshaukubali, maana yake ni kwamba ufisadi siyo mbaya kama tulivyoaminishwa na baadhi ya watu huko nyuma.

Baadhi ya ushahidi kuwa ufisadi siyo mbaya ni haya manung’uniko na vilio vya vyuma kukaza.

Hayo manung’uniko na hivyo vilio ni ushahidi tosha kuwa ufisadi ulikuwa unaleta nafuu kubwa sana kwenye maisha ya watu.

Kama isingekuwa hivyo, hivi vilio ni vya nini sasa?

Huko mitaani ninakopita pita kila mara nawasikia watu wakimwomba rais Magufuli alegeze [vyuma] kidogo ili watu wapate nafuu kwenye maisha yao.

Nasikia sikia watu wakisema pia kuwa eti mzunguko wa pesa umepungua na hivyo kusababisha mdororo wa kiuchumi [siku zote mi nilidhani najua uchumi wetu umedorora, kumbe nilikuwa sijui kitu maskini wa mungu].

Nimeskia kuna mabenki sijui yamefunga matawi na mengine sijui yameacha kabisa kutoa huduma. Sasa kama ufisadi ulifanya mabenki yashamiri kuna haja gani ya kuupiga vita?

Si tuuboreshe zaidi ili watu waendelee kuneemeka na uchumi wa nchi uendelee kustawi!

Nimehitimisha kuwa zile kelele nyiiiingi dhidi ya ufisadi zilizopigwa kwenye majukwaa ya kisiasa, kwenye vyombo vya habari, kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko zilikuwa ni porojo tu za kisiasa.

Watu walikuwa wanajishaua tu na kujishebedua kwa kuitana majina kama ‘fisadi papa’, ‘fisadi nyangumi’, ‘fisadi dagaa’, na mengine mengineyo.

Pia tulimdhihaki sana rais aliyepita kwa kuruhusu ufisadi kushamiri nchini. Maskini mzee wa watu kumbe wala hakuwa na makosa yoyote yale.

Nakumbuka tulikuwa tunamuita ‘msanii’, ‘dhaifu’, ‘mtalii’, ‘Vasco da Gama’ na majina mengine ya dhihaka.

Ila yule mzee ana ngozi nene bana. Manake yote hayo aliyavumilia na tabasamu juu. Kusema ukweli mi sijawahi kumwona yule mzee kakasirika.

Eniwei, habari ndo hiyo. Mimi nishahitimisha sisi hatuuchukii ufisadi.

Sijui nyie wengine.
Watu wañataka matokeo hizo mbwe mbwe za kutumbua haitusaidii.No ajira biashara zinafungwa mabank yanafungwa watu wanapunguzwa makazini Sasa tuna Unga mkono nini.?
 
Naomba kuanzia leo uelewe kuwa wanaolalamika siyo watanzania , wanaolalamika ni majizi chadema wasiojielewa

Watanzania wako bega kwa bega na rais wao Magufuli .
Mtu anayefikia hatua ya kumnunulia soda mbuzi atalalamika vyuma kukaza??
majizi yote yapo humo humo CCM vyuma kukaza vipo kwa wote hasa CCM wenyewe kwani wengi ndiyo wanamiliki maduka viwanda na miladi mikubwa, Mtukufu malaika toka na Maliyamungu Bashite wanakula 10% Ununuzi wa ndege, ujenzi wa reli, bomba la mafuta, chato Airport, kukamata madini ya watu na cash airport wanajimilikisha kimya kimya, wezi wote wapo CCM pesa za Umma, pesa za walipa kodi inayotumika kuwanunua wabunge, madiwani wa upinzani huku chaguzi zikirudiwa kwa gharama kubwa wao wakipiga Ufisadi humo humo, majizi ya Nchi hii ni CCM.
 
Mahakama ya mafisadi imekuwa jumba kubwa kuliko yote la kufugia popo tanzania.
Hiyo mahakama ingeanza na kesi za uuzaji nyumba za serikali kisha magufuli Bokasa akajiuzia nyumba kibao kienyeji na nyumba zingine akazigawa kwa hawala na mdogo wake ambao hawakuwa watumishi Umma. Ununuzi wa kivuko cha Dsm-Bagamoyo huyo magufuli alipiga pesa ndefu pia kuna pesa bilion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kwa kuwalipa makandarasi hewa, ingekuwa ni Afrika kusini leo hii magufuli angekuwa nje, lakini Bunge la Tanzania halina uwezo kama Bunge la Afrika kusini.
 
Nimelitafakari hili suala kwa muda mrefu kidogo sasa na nadhani nina kila sababu za kuhitimisha kuwa sisi kama taifa kwa ujumla wetu hatuuchukii ufisadi.

Na kwa kutambua au kutokutambua tayari tumeshaukubali. Tumeukubali kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

Kwa vile tumeshaukubali, maana yake ni kwamba ufisadi siyo mbaya kama tulivyoaminishwa na baadhi ya watu huko nyuma.

Baadhi ya ushahidi kuwa ufisadi siyo mbaya ni haya manung’uniko na vilio vya vyuma kukaza.

Hayo manung’uniko na hivyo vilio ni ushahidi tosha kuwa ufisadi ulikuwa unaleta nafuu kubwa sana kwenye maisha ya watu.

Kama isingekuwa hivyo, hivi vilio ni vya nini sasa?

Huko mitaani ninakopita pita kila mara nawasikia watu wakimwomba rais Magufuli alegeze [vyuma] kidogo ili watu wapate nafuu kwenye maisha yao.

Nasikia sikia watu wakisema pia kuwa eti mzunguko wa pesa umepungua na hivyo kusababisha mdororo wa kiuchumi [siku zote mi nilidhani najua uchumi wetu umedorora, kumbe nilikuwa sijui kitu maskini wa mungu].

Nimeskia kuna mabenki sijui yamefunga matawi na mengine sijui yameacha kabisa kutoa huduma. Sasa kama ufisadi ulifanya mabenki yashamiri kuna haja gani ya kuupiga vita?

Si tuuboreshe zaidi ili watu waendelee kuneemeka na uchumi wa nchi uendelee kustawi!

Nimehitimisha kuwa zile kelele nyiiiingi dhidi ya ufisadi zilizopigwa kwenye majukwaa ya kisiasa, kwenye vyombo vya habari, kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko zilikuwa ni porojo tu za kisiasa.

Watu walikuwa wanajishaua tu na kujishebedua kwa kuitana majina kama ‘fisadi papa’, ‘fisadi nyangumi’, ‘fisadi dagaa’, na mengine mengineyo.

Pia tulimdhihaki sana rais aliyepita kwa kuruhusu ufisadi kushamiri nchini. Maskini mzee wa watu kumbe wala hakuwa na makosa yoyote yale.

Nakumbuka tulikuwa tunamuita ‘msanii’, ‘dhaifu’, ‘mtalii’, ‘Vasco da Gama’ na majina mengine ya dhihaka.

Ila yule mzee ana ngozi nene bana. Manake yote hayo aliyavumilia na tabasamu juu. Kusema ukweli mi sijawahi kumwona yule mzee kakasirika.

Eniwei, habari ndo hiyo. Mimi nishahitimisha sisi hatuuchukii ufisadi.

Sijui nyie wengine.
Ni kweli baadhi walikua hawauchukii huo ufisadi na ndo hao hivi sasa kelele zao haziishi kulalama,Na wapo waliouchukia mdomoni kwa kuusema lakini rohoni mwao ndo wakuu wa matendo hayo ya ufisadi....na kwa muda huu ndo maana ajenda zote za ufisadi zimekufa kwa kuwa waliouchukia ufisadi mdomoni na rohoni nashughulikia. Hivo imebaki wanalalama kubuni jinsi ya kuuhalalisha uonekena kumbe ufisadi ilikua biaahara halali kwa baadhi ya watu...
 
ni juzi tu hapa mabilioni yamepigwa kwenye e pasport mbele ya macho ya raisi ulisikia akisema chochote dhidi ya uchafu ule? alichofanikiwa yye ni kuziba watu midomo... kufingia na kutisha vyombo vya habar visihoji ila hana jipya huyo mzee wa frastrations
Pia kapiga pesa kule Acacia na barrack makinikia yanakwenda nje kama kawaida kiimya kiimya.
 
Ni kweli baadhi walikua hawauchukii huo ufisadi na ndo hao hivi sasa kelele zao haziishi kulalama,Na wapo waliouchukia mdomoni kwa kuusema lakini rohoni mwao ndo wakuu wa matendo hayo ya ufisadi....na kwa muda huu ndo maana ajenda zote za ufisadi zimekufa kwa kuwa waliouchukia ufisadi mdomoni na rohoni nashughulikia. Hivo imebaki wanalalama kubuni jinsi ya kuuhalalisha uonekena kumbe ufisadi ilikua biaahara halali kwa baadhi ya watu...
Rais wa sasa ni Fisadi anapiga Dili kwenye ununuzi ndege, ujenzi wa Reli bomba la mafuta kuchukua pesa Hazina kienyeji nk, kazuia mikutano ya siasa, na wanasiasa wakiamua kutumia vyombo vya Habari kusema Ukweli wa ndege kama lisu wanaoigwa Risasi na kubambikiwa kesi za Uchochezi, unataka vita ya Ufisadi ipiganiwe wapi? Maana Tanzania mafisadi wakubwa kwa sasa ni Maliyamungu Bashite na Mtukufu malaika toka chato ukiwagusa ujue Nissan nyeupe chini ya dereva Jerry muro inakuja kukutembelea.
 
Sawa lakini ufisadi wa kuonekana matendo yake na ufisadi usioonysha lolote ni kusikia tu mradi flani bilion kadhaa kumbe haupo huoni tofauti..
 
Nilidhani Utaizungumzia Mahakama maalum ya Ufisadi lakini Sijaona..
Maana Kichwa cha habari na Maudui haviendani..kuchukia tu Bila kuchukua Hatua ndiyo kunapunguza Ufisadi?

Hali ya Uchumi Tz ni Legelege kwa Sasa ndiyo Maana Watu wanalalamika..Kama Kulikua na Mafisadi Bado Wako Mtaani.

Mkuu Nyani Ngabu nikukumbushe tu Hata Vile Vichwa vya Treni Vilivyoingia Kwa Njia ya Ufisadi Vimenunuliwa na Serikali..
 
Pesa inayotumika kwa mambo ya hovyo hovyo ni nyingi kiasi cha kutisha, Madalali wa siasa huko CCM walipogundua magufuli Bokasa hawapendi Wapinzani wamebuni miladi mingi ya kula pesa zake , ruzuku ya CCM, pesa za walipa kodi na pesa za Umma, Le mutuz pekee anakula mabilioni kwa kazi ya kuajiri vijana wa mitandaoni kumtetea CCM na uovu wake,

Pia le mutuz yupo kwenye kikundi cha Ununuzi wa Wapinzani na kuua upinzani kurejesha mfumo wa chama kimoja, vikundi vyote vya Uonevu na uovu dhidi ya Wapinzani vinaongozwa na Maliyamungu idd Amin Bashite kwa Bajeti kubwa toka Hazina pesa za wananchi wa Tanzania tena wengi wakiwa ni Wapinzani na wasio na vyama, lakini pesa yao inachotwa kibabe kienyeji na kwenda kufanya kazi isiyojulikana na kuwanufaisha Maliyamungu Bashite na kikundi chake. Kuna Ufisadi mkubwa unaofanywa na wakoloni wawili toka kolomije na chato ni wakati wa kudai Uhuru ili kuondokana na Udikteta wao.
 
Hao wanaotamba kupambana na ufisadi ndio mafisadi wakubwa. Nenda Chato halafu utuambie yale mahekalu yanayoota kama uyoga ni nani? Amepata wapi ukwasi wa kuyajenga?
 
Nimelitafakari hili suala kwa muda mrefu kidogo sasa na nadhani nina kila sababu za kuhitimisha kuwa sisi kama taifa kwa ujumla wetu hatuuchukii ufisadi.

Na kwa kutambua au kutokutambua tayari tumeshaukubali. Tumeukubali kuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

Kwa vile tumeshaukubali, maana yake ni kwamba ufisadi siyo mbaya kama tulivyoaminishwa na baadhi ya watu huko nyuma.

Baadhi ya ushahidi kuwa ufisadi siyo mbaya ni haya manung’uniko na vilio vya vyuma kukaza.

Hayo manung’uniko na hivyo vilio ni ushahidi tosha kuwa ufisadi ulikuwa unaleta nafuu kubwa sana kwenye maisha ya watu.

Kama isingekuwa hivyo, hivi vilio ni vya nini sasa?

Huko mitaani ninakopita pita kila mara nawasikia watu wakimwomba rais Magufuli alegeze [vyuma] kidogo ili watu wapate nafuu kwenye maisha yao.

Nasikia sikia watu wakisema pia kuwa eti mzunguko wa pesa umepungua na hivyo kusababisha mdororo wa kiuchumi [siku zote mi nilidhani najua uchumi wetu umedorora, kumbe nilikuwa sijui kitu maskini wa mungu].

Nimeskia kuna mabenki sijui yamefunga matawi na mengine sijui yameacha kabisa kutoa huduma. Sasa kama ufisadi ulifanya mabenki yashamiri kuna haja gani ya kuupiga vita?

Si tuuboreshe zaidi ili watu waendelee kuneemeka na uchumi wa nchi uendelee kustawi!

Nimehitimisha kuwa zile kelele nyiiiingi dhidi ya ufisadi zilizopigwa kwenye majukwaa ya kisiasa, kwenye vyombo vya habari, kwenye mitandao ya kijamii na kwingineko zilikuwa ni porojo tu za kisiasa.

Watu walikuwa wanajishaua tu na kujishebedua kwa kuitana majina kama ‘fisadi papa’, ‘fisadi nyangumi’, ‘fisadi dagaa’, na mengine mengineyo.

Pia tulimdhihaki sana rais aliyepita kwa kuruhusu ufisadi kushamiri nchini. Maskini mzee wa watu kumbe wala hakuwa na makosa yoyote yale.

Nakumbuka tulikuwa tunamuita ‘msanii’, ‘dhaifu’, ‘mtalii’, ‘Vasco da Gama’ na majina mengine ya dhihaka.

Ila yule mzee ana ngozi nene bana. Manake yote hayo aliyavumilia na tabasamu juu. Kusema ukweli mi sijawahi kumwona yule mzee kakasirika.

Eniwei, habari ndo hiyo. Mimi nishahitimisha sisi hatuuchukii ufisadi.

Sijui nyie wengine.
Ngabu
Hakuna mtu mwenye akili timamu aliyempinga JPM kupiga vita ufisadi hata kidogo. Tunapinga anavyovunja sheria, namna anavyopiga hiyo vita. Fisadi ni fisadi hamna kuchagua. Cha pili usichanganye siasa ya kukandamizaji democracy kwa jina la kupiga vita ufisadi.
Matukio yaliyotokea recently hata attempted assasination of Tindu Lisu halifutiki kwenye legacy yake.

only two yrs
 
Unaendelea kuweweseka tu, unadhani thread hii ndio itafuta zile thread zako mbili?

Kama unahitaji uteuzi mwombe radhi Rais Magufuli kwanza kwa kumdhiaki na kumtukana humu kisha ndio tukukabidhi kwa Bashite aangalie kibarua gani atakupangia, uwe unampikia chai au ajira ya mtandaoni kuwalamba makalio.
Nimecheka sana.Alikoswa koswa na wasiojulikana,kwa hiyo ameamuwa aje kivingine.Amesahau tu kwamba alitakiwa aombe radhi kwanza kabla ya kubadili upepo....
 
mimi nadhani ni vizuri kutenga issue za ufisadi na ugumu wa maisha km maisha magumu wananzengo wasilalamike au je kazi ya serikali kwa wananchi wake si kuwapa maisha nafuu au maemdeleo sasa mkuu nyani ngapu ebu jipambanunue zaidi
 
Watu badala ya kupaza sauti zao ili kima cha chini cha mishahara ipandishwe,na huduma muhimu kama afya ziboreshwe tuna kazania ku anda kuandamana kwasababu ya eti tumenyimwa uhuru wa kukuongea. Tuanzeni kwanza na masuala madogo na ya muhimu kwanza,
Mishahara ikipanda hivi vyuma vitalegea tu, na rushwa itazidi kupungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom