Kumbe UKAWA walikuwa Wanatupotosha?

Weye ndo unayetaka kuupotosha uma kuwa UKAWA ni wopotoshaji. Tamka wazi kuwa maccm ndo wanapotosha uma. Wamepata wapi rasimu hiyo wanayoitetea ya serekali 2?? Au wanafuata tu maneno ya m/kiti wao kuwa 3 zitaleta vita?? Maneno ya kukaririshwa jamani hayana mashiko.
Waacheni wajadili serekali zao 2 lakini kuna siku, watalipa hizi kodi wanazo jilambisha bila matokea. Warudi njia kuu, mchepuko siyo dili. Waache kudharau mawazo mama ya wananchi. Mengineyo yoote ni mchepuko tu. Kama wanataka kupinga rasimu ile ya Warioba, waipinge yoote, wamrudishie Warioba akakusanye upya si wao kutoa za mifukoni na kuwasilisha BMK.

JK kweli anaonewa sana, eti inadaiwa kasema kuwa "tukichagua Serikali 3 nchi itaingia vitani!" Muogopeni Mungu jamani, vibaya hivyo!!
 
Weka hapa CV ya JK, Nchemba, Wasira, Nape and Jr Makamba, na zile za Judge Warioba na wajumbe wote wa tume pamoja na za viongozi wa UKAWA, tuone ni nani ana sifa na utaalamu wa katika masuala ya katiba!. Acheni kuzungumza kama wote mmesoma elimu ya madrasa kiasi kwamba hamtambui hata maana na umuhimu wa elimu na taaluma za watu.

Kwanza JK ana taaluma gani? Uraisi wenyewe wa magumashi. Nani asiyejua kwamba uchaguzi wa 2010 alitupwa mbali sana akachakachua? Anadhani alivyochakachua kwenye uraisi wake na katiba atachakachua? Wananchi wa Tanzania wamesema sasa basi!l Na asijidanganye.

UKAWA na CV zao zilizonenepa still bado wanapotosha umma!!
 
Hivi hii ID ilikuwa moderator???!!
Sikuchukii lakini kwa uandishi wako kama ulikuwa mod basi hukutakiwa kuwa!!!! Au umebadilika baada ya kumaliza???!!!

Kwa nini usiandike in a neutral manner wasomaji ndio waseme kama wanapotoshwa au laa???!!!

Jamaa ni mfuasi wa siasa za Umbijani...

Usidanganyike na cheo chake hapa JF ila kimsingi ni kwamba kichwani hamna kitu kabisa...

Kama mpwa huamini basi kuanzia leo jitahidi uwe wafuatilia mawazo yake hapa jamvini...
 
Mpwa mzima lakini???!!!
Sio mara moja kumuuliza hilo swali natumai naye anakumbuka!!!

Kilema changu ni kushindwa kuvumilia the obvious kupindishwa!!!!

Ukistaajabu ya Mussa
 
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!

Uwezo wako mdogo wa kuelewa na kuchambua mambo umedhihirika. Ndio maana umeondoshwa katika jopo la Moderators wa JF. Akili yako ndogo haiwezi kuongoza akili kubwa kamwe.
 
Wanasheria wameinisha kwa umakini majukumu na mipaka ya CA. JK ni zaidi ya wanataaluma kweli? Acha upumbavu.

Nyie mnataka rasimu ya katiba isirekebishwe? sasa kwanini mlikubali muwe na Bunge la Kutunga Katiba?
 
Mpwa mzima lakini???!!!
Sio mara moja kumuuliza hilo swali natumai naye anakumbuka!!!

Kilema changu ni kushindwa kuvumilia the obvious kupindishwa!!!!

Ukistaajabu ya Mussa

Kwema mpwa...

Kama amefuatilia vyema mijadala hii ya wazi inayoendeshwa na vituo vya habari sidhani kama angeliyaandika haya...

Kama angelikuwa amwasikiliza vyema wajumbe wa wastaafu wa tume ya katiba pamoja na mwenyekiti wao sidhani kama angeliyaandika haya...

Yaani anaropoka tu kama Nape alivyokuwa akipayuka sijui ni jana ile au leo...kwanza nahisi haka kajamaa katakuwa ni Nnauye bila shaka maana ndio mawazo kama haya niliyasikia toka kwa vuvuzela
 
Kwa nanma anavyoandika humu kamwe hawezi kushiriki mjadala wa live akawa na la maana la kuongea. Atakuwa kimya kama nape alivyonyamazishwa na Mnyika juzi.
 
Mkuu Buchanan, kwenye jopo la moderators JF haumo, unafukuzia CCM ka-mfupa!!!?? J.K nae anamaliza mda wake hivyo, anyway kila la kheri. Kumbe ndiyo maana ulikuwa unatoa ban kwa kusukumwa kisiasa.
 
Last edited by a moderator:
Eti walidai kuwa Rasimu ilitakiwa "iboreshwe" tu na sio kubadili chochote!
JK amewapatia akina Tundu Lissu na wenzake vifungu kimoja baada ya kingine! Kinachowapa shida sasa hivi UKAWA ni namna ya kufuta uongo wao!
Hongera JK, umekuwa smart sana kuhusu Katiba Mpya so far!
Kama sikosei ulikuwa mod wa JF. What happened mpaka umebadilika hivi???
 
Kazi ya bunge la katiba ni kuboresha rasimu sio kurekebisha rasimu

Hapana, umekosea, rasimu haiboreshwi, kinachotungwa ni Katiba si rasimu tena ya katiba. Kumbuka hilo.

Nna wasi wasi hata kama maana ya rasimu mnaielewa.
 
Jamaa ni mfuasi wa siasa za Umbijani...

Usidanganyike na cheo chake hapa JF ila kimsingi ni kwamba kichwani hamna kitu kabisa...

Kama mpwa huamini basi kuanzia leo jitahidi uwe wafuatilia mawazo yake hapa jamvini...

Kwa kweli. Halafu inaonekana hajui kinachoendelea, yupo yupo tu
 
Buchanan: nilikuwa najaribu kumjibu Olesaidimu aliyesema hana haja ya kujadili a concluded hoja.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa ni mfuasi wa siasa za Umbijani...

Usidanganyike na cheo chake hapa JF ila kimsingi ni kwamba kichwani hamna kitu kabisa...

Kama mpwa huamini basi kuanzia leo jitahidi uwe wafuatilia mawazo yake hapa jamvini...

UKAWA ni wapotoshaji sana, kumbe JK alikuwa anawalia timing tu aisee!
 
Nadhani tulichukulie hili jambo kwa uwazi na kwa lengo la kushawishi wengine waone na kukubaliana na hoja zako. Kama mtu huna haja ya majadiliano kaa pembeni na chuki zako. Huna haja ya kupoteza mda kuja kutibuana JF
Hili ndio ulikuwa unajaribu kunijibu au ulikuwa unajaribu kujieleza???!!!!

1. Hoja zangu hapa sijaweka ila niliuliza tu!!!!
2.Majadiliano huanza na premises na attitude ya unayaejadiliana naye, na pia kuna mjadala na tamko, tamko hukosolewa ila mjadala hujadiliwa!!!!
3. Chuki zangu, hapana rudia bandiko langu la kwanza nimeweka wazi juu ya hilo.
4. Kutibuana hapana pia ila ni retrograde thinking juu ya moderators, inclination zao na stake ya members before prejudiced moderators kama wapo (Na niliuliza kama ni yeye au majina yamefanana)

Moderation ya jukwaa sio lazima mpaka uweze kutoa BAN hata huku tu tunapigana msasa na watu wanakaa sawa!!!!
 
Back
Top Bottom