nonino
Member
- Apr 11, 2012
- 32
- 12
Hivi karibuni nilimsindikiza mfanyakazi mwenzangu kwenye sherehe ya miaka 5 ya ndoa ya rafiki wa karibu wa mumewe sababu mumewe alisafiri hakweza kuhudhuria hivyo tukaenda wote.Sherehe ilikuwa safi,walipendeza walikuwa wanandoa wenye furaha,baada ya hapo ktk maongezi hy mfanyakazi mwenzangu akanihadithia historia ya hawa wanandoa walivyokutana.
Walikutana UDSM,huyu mke mwema kwa sasa tufanye anaitwa XX,alikuwa chuoni ni balaa,kwa uzuri analipa na pia alikuwa kipanga fulani hivi,ila tabia kidogo alikuwa hajatulia,yeye na marafiki zake waliitwa kunguru wa zenji.Mume wa XX alikuwa kati wa wavulana wanaobabaikiwa UD,sasa jamaa nasikia kuna siku akawaambia wenzie mie yule mtoto nataka nimpitie yaani kumuonja,hii ndio ilikuwa nia yake sio kuwa na relation naye.
Basi jamaa akamtokea, sk ikafika akamuonja kweli lakini jamaa baadaye akagundua XX pamoja na kuwa utulivu zero alikuwa tofauti sn na wasichana wengine,kwanza alipoenda kumtokea si unajua tena wanaume mlivyo na mashairi kibao mnajua mnavyotuambiaga,XX akwamwambia aje stop making a fool of urself najua wasichana kibao uliowaambia maneno kama hayo,na baada ya kuwaonja ukawabwaga,if u want sex,im in here is my number give me a call.
Pia wasichana wengi aliokuwa amewaonja onja walikuwa wanajua sana jamaa anapita hamaanisha lakini wao wanamngangania pamoja na kujua wako wengi;na kile kitabia mara naomba vocha,mara tukutane lunch nk jamaa pesa alikuwa nazo.Sasa jamaa alivyomaliza kumuonja kama anavofanyaga kwa wasichana wengine akampa XX hela,binti akakataa kuchukua,basi baada ya hapo XX akawa anaendelea na mambo yake hakumfatafata jamaa km alivokuwa ametegemea wakionana binti anampa hi basi,jamaa kumbe sk ile alinogewa,Siku nyingi akamuomba wakaonjane tena wakaenda, jamaa huduma aliyopewa na XX ikamchanganya sio jamaa akatoa hela ya kutosha ampe binti,XX nasikia alichukia,jamaa akamuuliza kwani tatizo nn? akamjibu kwa nini unanipa hela? jamaa akamjibu sababu nimekuonja maana nasikia wasichana usipopewa chochote baada ya kufanyiwa hivyo mnakasirika.XX akwambia kwa hiyo unanilipa,u just keep ur money maana mimi huwa siuzi nimekubali nimelala na wewe sababu tu nilikuwa na hamu na hicho kitu na si vinginevyo.
Basi wakawa wakiwa na hamu wanakutana wanaonjana baada ya hapo kila mtu anaendelea biz zake,jamaa akaanza kuvutiwa na XX,walipokuwa mwaka wa mwisho jamaa akawa ameshafatilia full background ya XX,kumbe mapepe alikuwa anafanya chuoni,akiwa kwao ni full adabu maana wazazi wake ni wakali balaa.Jamaa akawaambia wenzie jamani mi XX nimeshaanza kumpenda sasa nataka nimfanye awe wangu peke yangu,marafiki zake wakamcheka sana.Basi jamaa akaanza kuwa serious kumtaka XX awe girl friend wake ,binti akawa hataki jamaa akazidi kufatilia mwishowe XX akamwambia nitajaribu ,basi baada ya kumaliza chuo wakawa kwenye relation boy/girlfriend, XX baada ya kupata kazi akawa ameondoka kwa wazazi wake anajitegemea huku akiendelea na double identity.
Jamaa yeye alikuawa ameshabadilika mambo ya kuonja onja binti za watu aliachana nayo,akawa ameshampenda XX vibaya,ikabidi jamaa awe mkali ili XX naye abadilike,jamaa akawa anamcontrol XX kuanzia mavazi,kwenda viwanja na mambo mengine yote aliyo ona hayafai,akiona somo alijaheleweka mkono ulikuwa unatumika,naskia mpaka XX alibadilika watu wote walikuwa wanashangaa,jamaa akachumbia ,akaoa kabisa .Na watu wa karibu wanakiri kweli ndoa yao iko vizuri sana ,XX amekuwa mke mwema huwezi amini.
Najiuliza kitu kimoja bado,hivi ni kweli XX alibadilika kutokana na ubabe wa jamaa au ni yeye mwenyewe tu,baada ya labda baada ya kukua akaona mambo yasiyofaa aachane nayo.Naombeni maoni yenu.