Kumbe siku hizi hata daladala za Mbezi Mwisho - Makumbusho / Kawe kupitia Goba nazo zina wale dunga dunga?

Cognizant

JF-Expert Member
Aug 13, 2022
491
1,056
Yaani nimejikuta nacheka sana ndani ya daladala baada ya kumuona mwamba akigandamizia zipu yake kwa abiria wa kike aliyekuwa mbele yake na kila dada wa watu alipokuwa akisogea mwamba nae alikuwa akiambaa nae tu na chaki mpaka dada alipomshtukia na kumgeukia huku akimsonya huku mwamba akijikausha kwa kuzuga anachati na simu yake na eneo linakojihifadhi kombora la kimaangamizi la kijiografia likiwa limetuna hali iliyofanya hadi abiria wengine kuona na kuanza kucheka kimya kimya.

Tukiwaambia mkizidiwa tu na minyege yenu ya kishamba muwe mnapiga nyeto ili kuondokana na hizi aibu ndogo ndogo hamuelewi / hamtuelewi.
 
Back
Top Bottom