Kumbe SHIRIKA LA POSTA linajiendesha kifaida???

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Jul 3, 2007
5,520
2,091
Baada ya kutumia Ma-box ya Kampuni/Familia/na c/o hatimaye nikajisogeza ambapo ni njia nipitiayo siku zote...Kijitonyama Postal Office nikiwa na vitu vyote muhimu ili kujiandikisha T.Bariiiidi mimi... bila woga wala nini wananiambia Mabox yoooote yamejaa...eti niende Ubungo Bus Stand hivi hawa nani kawalogaa???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom