Kumbe Rais Samia analazimishwa kuitwa sasa Mama wa Taifa kwakuwa kuna huu Mpango Mkakati kabambe nyuma ya Pazia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,638
109,004
Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango.

Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka ( aliyoachiwa na Rais wa Tatu kwa Ubora Tanzania Hayati Magufuli ) kisha Yeye kama Yeye sasa ataanza Ngwe yake kuanzia 2025 hadi 2035 ambapo Wengi wenu Kiumri mtakuwa ni Vibabu tayari.

Kumbe hata ile Kauli ya Katibu Mwenezi na Itikadi Taifa Bi. Sophia Mjema kuwa Boss Mkuu CCM atakaa hadi 2035 alikuwa anamaanisha huu mtiririko nilioutoa hapa na hakusema kwa bahati mbaya au kwa Kukurupuka tu.

Na huku Yeye ( Boss Kiserikali na Kichama ) Watanzania Kulazimisha Kumuita Mama wa Taifa sasa ni kutaka Kumjenga katika Fikra za Watanzania ili akidumu hadi hiyo 2035 tujue kuwa Mama wa Taifa yuko Kazini huku Akipambwa na Kusifiwa kwa Nguvu zote na ikitokea kuna Wenye Akili Kubwa ambao watapinga huu Upuuzi haraka sana Watawafuata Waliotangulia mbele za Haki kwasababu zisizojulikana.

Na pia Mama wa Taifa inalazimishwa ili Kuvunja Rekodi za akina Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli ambao walikaa Miaka yao 10 huku Magufuli akiwa amekaa yake 6 na wa sasa ili Jina la Mama wa Taifa likamilike atadumu kwa Miaka 14 nikimaanisha hii 4 ya sasa, ile 5 ya 2025 hadi 2030 na 5 ya kumalizia ya 2030 hadi 2035.

Na hili Kulifanikisha hili ndiyo maana kwa sasa Boss Kubwa anapangua mno Safu ndani ya Chama na Serikalini ili awe na uhakika na Mkakati wake unaopangwa na Chawa wake Wapumbavu watupu ambao Kutwa tu Wanamdanganya na Kumpa Sifa ambazo si tu hana bali hazimstahili.

Baada ya Kugundua huu Mchezo na ninavyojua Vita Kubwa ( ya ndani kwa ndani CCM ) leo hii GENTAMYCINE natabiri kutokea Mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kutokea kwa Hujuma Kubwa na huenda hata kabla ya 2025 au kati ya 2025-2030 na 2030-2035 kukatokea Misiba ya ghafla ghafla au Mmoja Kabambe wa ghafla kwakuwa ndani ya Chama kuna Mafia Kadhaa wa Kihistoria, waliofanya Makubwa ( Dhambi za Kiumafia ) na Wanaogopwa sana.

Zanaki na Yao Genius ( GENTAMYCINE Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ) nimemaliza.
 
Kwenye nchi gani hiyo atawale mpaka 2035... amekuwa Vladimir Putin huyu? Katiba gani inayosema hivyo.

As long as kahudumu kama rais basi ukomo wake ni mihula mwili tu, na bahati nzuri kaanza kuwa rais miezi 6 baada ya uchaguzi, uchaguzi uliisha 2020 october, yeye kaingia 2021 march... Hivyo kahudumu Muhula mzima au awamu nzima akiwa kama rais... Hivyo kikatiba ni mihula miwili tu
 
Kwanini akae miaka 4.na sio 5?
 
Kwanini akae miaka 4.na sio 5?
Miaka gani mnee unayoizungumzia wewe?

2021- 1
2022- 2
2023- 3
2024- 4
2025- 5

Na hata angeongoza kwa hiyo miaka minne bado katiba ingemtambua kama kaongoza muhula... Katiba isingemtambua endapo kama angekuwa rais wa mpito kwenda uchaguzi wa marudio ya kumpata rais kamili.
 
Kwenye nchi gani hiyo atawale mpaka 2035... amekuwa Vladimir Putin huyu? Katiba gani inayosema hivyo.

As long as kahudumu kama rais basi ukomo wake ni mihula mwili tu, na bahati nzuri kaanza kuwa rais miezi 6 baada ya uchaguzi, uchaguzi uliisha 2020 october, yeye kaingia 2021 march... Hivyo kahudumu Muhula mzima au awamu nzima akiwa kama rais... Hivyo kikatiba ni mihula miwili tu
Niamini yuko / atakuwepo Madarakani hadi mwaka 2035. Yanayoandaliwa Kimkakati ni makubwa Mkuu.
 
Miaka gani mnee unayoizungumzia wewe?

2021- 1
2022- 2
2023- 3
2024- 4
2025- 5

Na hata angeongoza kwa hiyo miaka minne bado katiba ingemtambua kama kaongoza muhula... Katiba isingemtambua endapo kama angekuwa rais wa mpito kwenda uchaguzi wa marudio ya kumpata rais

Miaka gani mnee unayoizungumzia wewe?

2021- 1
2022- 2
2023- 3
2024- 4
2025- 5

Na hata angeongoza kwa hiyo miaka minne bado katiba ingemtambua kama kaongoza muhula... Katiba isingemtambua endapo kama angekuwa rais wa mpito kwenda uchaguzi wa marudio ya kumpata rais kamili.
Uchaguzi mwaka 2020.magufuli kafa 2021.kuna miezi yake hapo samia anadai alipwe
 
Miezi yake alipwe kivipi... Uliambiwa kwamba urais ni upatu kwamba ni lazima ulipwe kwa fidia... Au unahisi urahisi ni kampuni kwamba ikikiuka mkataba ifidishwe...

Rais anaweza kuingia leo madarakani na wananchi kesho yake wakamuondoa.

Wewe akili zako ni chenga kweli eti mama samia anadai miezi alipwe? Unahisi katiba ni ya bibi yako.
 
Haya akina Hussein Mwinyi uliyekuwa Unaota kuja Bara 2025, akina January Makamba, Mwigulu Nchemba, Ridhiwani Kikwete na Dotto Biteko mnaohangaika Kujipanga kwa 2030 nawaombeni kuanzia sasa Sahauni huo Mpango.

Za uhakika ni kwamba Aliyeko sasa ( Boss Wenu ) anamalizia hii Minne ya Deiwaka ( aliyoachiwa na Rais wa Tatu kwa Ubora Tanzania Hayati Magufuli ) kisha Yeye kama Yeye sasa ataanza Ngwe yake kuanzia 2025 hadi 2035 ambapo Wengi wenu Kiumri mtakuwa ni Vibabu tayari.

Kumbe hata ile Kauli ya Katibu Mwenezi na Itikadi Taifa Bi. Sophia Mjema kuwa Boss Mkuu CCM atakaa hadi 2035 alikuwa anamaanisha huu mtiririko nilioutoa hapa na hakusema kwa bahati mbaya au kwa Kukurupuka tu.

Na huku Yeye ( Boss Kiserikali na Kichama ) Watanzania Kulazimisha Kumuita Mama wa Taifa sasa ni kutaka Kumjenga katika Fikra za Watanzania ili akidumu hadi hiyo 2035 tujue kuwa Mama wa Taifa yuko Kazini huku Akipambwa na Kusifiwa kwa Nguvu zote na ikitokea kuna Wenye Akili Kubwa ambao watapinga huu Upuuzi haraka sana Watawafuata Waliotangulia mbele za Haki kwasababu zisizojulikana.

Na pia Mama wa Taifa inalazimishwa ili Kuvunja Rekodi za akina Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli ambao walikaa Miaka yao 10 huku Magufuli akiwa amekaa yake 6 na wa sasa ili Jina la Mama wa Taifa likamilike atadumu kwa Miaka 14 nikimaanisha hii 4 ya sasa, ile 5 ya 2025 hadi 2030 na 5 ya kumalizia ya 2030 hadi 2035.

Na hili Kulifanikisha hili ndiyo maana kwa sasa Boss Kubwa anapangua mno Safu ndani ya Chama na Serikalini ili awe na uhakika na Mkakati wake unaopangwa na Chawa wake Wapumbavu watupu ambao Kutwa tu Wanamdanganya na Kumpa Sifa ambazo si tu hana bali hazimstahili.

Baada ya Kugundua huu Mchezo na ninavyojua Vita Kubwa ( ya ndani kwa ndani CCM ) leo hii GENTAMYCINE natabiri kutokea Mpasuko mkubwa ndani ya CCM, kutokea kwa Hujuma Kubwa na huenda hata kabla ya 2025 au kati ya 2025-2030 na 2030-2035 kukatokea Misiba ya ghafla ghafla au Mmoja Kabambe wa ghafla kwakuwa ndani ya Chama kuna Mafia Kadhaa wa Kihistoria, waliofanya Makubwa ( Dhambi za Kiumafia ) na Wanaogopwa sana.

Zanaki na Yao Genius ( GENTAMYCINE Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ) nimemaliza.
Mambo!
 
Kwa hiyo atabadili katiba?
 
Labda aongoze CCM, ila kikatiba ukomo wake mwisho 2030... Akitaka nchi iwe kama palestina basi katiba isifuatwe
Tanzania yako ina Watu Majasiri kama Wapalestina ili na Wao waweze Kukichafua kama Wenzao / Wao?
 
Back
Top Bottom