kumbe OHIO bado inafanya kazi

mickytop46

Member
Nov 10, 2010
39
6
yani uwezi kuamin kandri siku zinavozidi kwenda wasichana wanaojiuza maeneo ya ohio inazidi kuongeka tena biashara inaanza mapema tu mida ya sa moja na nusu hivi ..chakushangaza unamkuta ameka alafu ameachia sehemu nyeti zake wazi kbs ili kila mteja haone kweli ukimwi utaisha kwa namna hii maana kama biashara ingekuwa haiyendi wasinge ongezeka wana JF mnalionaje hili...
 
mkuu ulifata nini huko usiku, kweli macho hayana pazia, mzee mzima ukachungulia mpaka nyeti?
 
wengi waliopo hapa Ohio/Ghana streets ni wadada wa IFM & CBE, biashara hii mbona hata mchana ipo mitaa hii ila ni kwa STAHA.
 
Hebu tujuze kwa hili kwa manufaa yetu.... nilidhani hii ishu ni kwa wauza ndizi wa kike tu tu...!!:A S 465:
 
Kuna hotel maarufu ya zamani ambayo bado kesi yao inunguruma iitwayo Embassy hotel, pale ndio center ya chap-chap na walinzi wa pale ndio wadau kwa dili hizo za fasta-fasta.
Hotel hiyo ni kwa mchana mambo swaaafi, wadada wauza ndizi wao mara nyingi ni kwenye majengo marefu yanayojengwa mitaa ya kati ya jiji.
 
biashara ya ukahaba ipo toka enzi za Nuhu na gharika la Safina pia toka enzi za Masiha ukisoma biblia utakuta wanaongelea makahaba
 
Wanunuzi wameongeka wauzaji haina budi kuongezeka
the high the demand....the high..
The high customers ..the viosk,masoko ,wauzaji kuongezeka.
Nawasilisha.
 
yani uwezi kuamin kandri siku zinavozidi kwenda wasichana wanaojiuza maeneo ya ohio inazidi kuongeka tena biashara inaanza mapema tu mida ya sa moja na nusu hivi ..chakushangaza unamkuta ameka alafu ameachia sehemu nyeti zake wazi kbs ili kila mteja haone kweli ukimwi utaisha kwa namna hii maana kama biashara ingekuwa haiyendi wasinge ongezeka wana JF mnalionaje hili...

Ukimwi hauenezwi na machngudoa unaenezwa na watu wenye tabia za uzinzi na uasherati.
Wengi wamepata ukimwi na watapata ukimwi bila kwenda Mtaa wa OHIO.

Mzinzi ni mtu mwenye ndoa kisha kwenda kutembea nje ya ndoa.

kuonyesha paja ndo nini?

Sisi waTanzania hatuna hata niaka 150 tangu tuanze kuvaa nguo rasmi.
Zamani hizo tukitembea uchu sehemu nyeti hazikuwepo.
Uchi haukuwa msamiati.
matamanio hayakuweko.
Fikiria baba mama shangazi na mjomba pamoja na wewe wote mpo uchi kisha wewe kujifanya kudisa eti umetamani?? Hii
 
Hebu tujuze kwa hili kwa manufaa yetu.... nilidhani hii ishu ni kwa wauza ndizi wa kike tu tu...!!:A S 465:
Acha kuwadhalilisha wadada wa watu wewe!Unadhani kila anaefanya hiyo biashara anajiuza??Alafu unashangaa wauzaji wanaongezeka wakati unaonekana unaunga mkono hiyo biashara?As long as wanunuaji mpo wauzaji hawawezi kutoweka!
 
Kuna hotel maarufu ya zamani ambayo bado kesi yao inunguruma iitwayo Embassy hotel, pale ndio center ya chap-chap na walinzi wa pale ndio wadau kwa dili hizo za fasta-fasta.
Hotel hiyo ni kwa mchana mambo swaaafi, wadada wauza ndizi wao mara nyingi ni kwenye majengo marefu yanayojengwa mitaa ya kati ya jiji.
Umsema mcha inafanyika kwa staha... na hapo ndipo udadisi wangu ulipo inafanyikaje hapo mkuu?:A S 465:
 
Acha kuwadhalilisha wadada wa watu wewe!Unadhani kila anaefanya hiyo biashara anajiuza??Alafu unashangaa wauzaji wanaongezeka wakati unaonekana unaunga mkono hiyo biashara?As long as wanunuaji mpo wauzaji hawawezi kutoweka!
nililolisema lipo sana tu... na nishalishudia mara kadhaa na wala si kudhalilisha watu... nimiomba elimu tu kwa alotumbukiza hoja ya Ohio ya mchana...
 
Wanunuzi wameongeka wauzaji haina budi kuongezeka
the high the demand....the high..
The high customers ..the viosk,masoko ,wauzaji kuongezeka.
Nawasilisha.

Mamy bidhaa ikiwa sokoni bila wanunuzi nadhani itaoza na haitaexist tena ila kama wateja wengi itashamiri sana mi nawashauri wakaka waache kwenda kwa dada poa then tuone watamuuzia nani
 
Umsema mcha inafanyika kwa staha... na hapo ndipo udadisi wangu ulipo inafanyikaje hapo mkuu?:A S 465:

Jaribu kukaa pale aidha na taxi drivers uzoeane nao au wale shoe-shiners ili usome vizuri mazingira ya pale, WAHUSIKA WAKUU NI WALE WALINZI WA HOTEL NDIO WACHEZESHAJI. Hawapitii mlango wa mbele bali ni nyuma kama vile watu wanaenda parking/kuosha magari. Nakwambia haya coz ofisi zetu ni next to the building (ex-embassy hotel).
 
yani uwezi kuamin kandri siku zinavozidi kwenda wasichana wanaojiuza maeneo ya ohio inazidi kuongeka tena biashara inaanza mapema tu mida ya sa moja na nusu hivi ..chakushangaza unamkuta ameka alafu ameachia sehemu nyeti zake wazi kbs ili kila mteja haone kweli ukimwi utaisha kwa namna hii maana kama biashara ingekuwa haiyendi wasinge ongezeka wana JF mnalionaje hili...

Tunaliona kama soko huria sasa hivi
 
Mamy bidhaa ikiwa sokoni bila wanunuzi nadhani itaoza na haitaexist tena ila kama wateja wengi itashamiri sana mi nawashauri wakaka waache kwenda kwa dada poa then tuone watamuuzia nani

We we we! ishia hapo hapo :bolt: OHIO, KININDONI, SINZA MAKABURINI, AFRICA SANA, BUGURUNI SHELI, AMANA, KONA YA MABIBO,....
 
Back
Top Bottom