Kumbe kule Yanga ana mamlaka makubwa hivi? Anaamua nani asajiliwe au asisajiliwe

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara kutuondolea hili dubwasha

Haya sasa bin kazumari the voice of voiceless kasema sema suuuuuuuu atoe hizo voice notes.

daria.JPG
hahahahahaha mapeeenziiii.jpg
pwagu na pwaguzi wake
 
Asalalaleeee nilijua Sope bin takadin ndoa yake na yanga imefikia patamu kama pwagu na pwaguzi pale walipoyabeba matusi yake kwa karia kuwa ya taasisi lakini sikujua kama ana mamlaka makubwa kiasi hicho huko utopoloni ya kuamua nani asajiliwe na nani asisajiliwe, aiseee asante Barbara kutuondolea hili dubwasha

Haya sasa bin kazumari the voice of voiceless kasema sema suuuuuuuu atoe hizo voice notes.

View attachment 2319879View attachment 2319880pwagu na pwaguzi wake

Penzi kitovu cha uzembe
 
Huyu kazumari ni mwandishi wa majungu kasha ona habari yake ni ya uongo anatafta kichaka
kila mtu analijua lile dubwasha linavyolipukaga ..kaambiwa abishe ili hizo voice notes zitolewe...hivi kumbe sope anaamua issue sensitive kama za usajili huko utopoloni? aisee penzi ni kitovu cha uzembe, asalaleeeee,sikuwahi kuwaza kwa kweli
 
Kwenye hii issue sina uhakika wowote kwahiyo naiacha inipite kushoto tu, ila ningependa kuongelea issue ya nguvu ya Manara ndani ya Yanga

Ukiangalia Kwa makini na tukiacha huu unafki wa usimba na uyanga utagundua kuwa ni kweli Haji ana nguvu Fulani ndani ya Yanga

Tukianza kwa kutazama sababu ya kuondoka Antonio Nugazi na kuja Haji Manara, Kwa Akili ya kawaida tu sidhani kama kuna mwana Yanga ambae alifurahia kufukuzwa Kwa Nugazi na kuletwa Manara

Tukija kwenye issue ya Manara kufahamika kama Afisa muhamasishaji ila cha ajabu anakuwa na nguvu/mamlaka makubwa kuliko Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli

Hadi hapa tulipofikia ni wazi kuwa Hassan Bumbuli sio Afisa habari tena, kwahiyo hajulikani ana cheo gani tena pale Yanga ila sio ajabu kama atakuwa kashatemwa jumla ili kutengeneza mazingira ya nafasi yake kupewa Manara moja Kwa moja

Ukiangalia issue ya Manara kwenda kwenye tamasha la siku ya wanachi ni wazi kuwa Hilo wazo haliwezi kuwa la Raisi wa club bwana Hersi, bali lazima litakuwa ni wazo la Haji na Raisi akawa hana budi kukataa, Manara ni mtu ambae anapenda sana tabia ya kutunishiana misuri hivo alikuwa anaijaribu TFF kwa pride yake mwenyewe na sio Yanga

Issue ya Yanga kutangaza official kuwa wameingiza mapato mengi kwenye siku ya wanachi kuliko Simba day, hili limekuja baada ya kuona Simba imejaza uwanja sasa ili kuondoa hilo Haji akatafuta justification

Haji majuzi kupitia account yake ya Instagram ndio alienzisha vita ya Nani kaingiza mapato mengi ila cha ajabu haikuishia hapo club nayo ikaamua kulitangaza official

Hivi vilabu havijaanza leo kufanya haya matamasha ila kulikuwa hakuna ushamba wa kutambiana nani kaingiza hela nyingi kuliko mwingine, imeanzia kwenye tabia ya kutokubali kushindwa Kwa Manara na sasa kila kitu kimekuwa ni kama vita vile

Kwahiyo ukiangalia baadhi ya Mambo vile yanaenda pale Yanga utagundua kuwa ni kweli Haji ana nguvu flani au kuna nguvu ya mtu mkubwa nyuma yake, ambae obviously atakuwa ni Raisi wa club

Kutokana na hizo Mambo, Kuna kamba nyembamba sana inatenganisha ukweli na uongo wa ule uvumi kuwa Raisi na Muhamasishaji kuna kitu kinaendelea Kati yao

Anyway, kupanga ni kuchangua
 
Aweke voice notes hewan, si tujifaidie kusikiliza hizo povu zake.

team imechukuliwa Mzungu poli wa Magomeni.

Byuti byuti
 
Sawa ume andika yote hayo naku uliza unakubaliana kua Haji ana uwezo wa kuamua nani asajiriwe nani aachwe hapo Yanga?
 
Back
Top Bottom