Kumbe HIV ni silaha ya kibayolojia iliyotengenezwa Marekani!

Leo nimebahatika kukutana na habari inayomhusu Dr Boyd Graves, mtaalamu wa kimarekani aliyeamua kufichua siri kuhusu jinsi serikali ya Marekani ilivyotengeneza virusi vya HIV kwa malengo maovu. Hadi sasa amefungua kesi kulazimisha serikali itoe nyaraka zote za siri za mpango huo ili umma wa wananchi na wanasayansi wazione na kuzifanyia kazi kutokomeza UKIMWI. Baadhi ya nyaraka hizo anazo mwenyewe, ikiwemo "flowchart" ya utengenezaji wa virusi hivyo ya mwaka 1971. Katika kesi za awali, serikali iligoma kuachia nyaraka hizo ambazo ni "siri".

Kama hapa anasema:
The 1971 Flow Chart is the blueprint for the development of AIDS. It is the quintessential missing link document which provides absolute proof of the U.S. origin of HIV/AIDS. It is located in one of the 15 progress reports of the federal program entitled "The U.S. Special Virus Cancer Program." I believe the term "cancer" was a misnomer to misdirect the actuality of the HIV development. It provides, again, absolute, absolute evidence of the U.S. origin of HIV as a synthetic biological agent.

Ametoa pia maelezo ya kitaalamu kuwa kwa muundo wake, HIV imekusudiwa kuangamiza watu wasio wazungu, kama anavyoeleza hapa chini:

However, any cursory review of the U.S. Special Virus Program-the 15 progress reports-would show conclusively that, indeed, HIV is synthetic. It has been developed over a number of years and it has an affinity for people of color. But the research here, as reflected on my website, NEWS Releases: Dr. Boyd E. Graves' Research & News Archives 1999 - 2008, is as extensive as I can possibly make it, so that our people can see the totality of the other side of the development of this agent.

Namna virusi hivyo vinavyoweza kushambulia zaidi wasio wazungu ni kama ilivyoelezwa kitaalamu zaidi hapa chini (ambako mie kwa kweli nimetoka "kapa", watakaoelewa naomba wanisaidie nami niweze kuelewa hii sayansi):

What the science and medical evidence concludes is that the HIV enzyme seeks out a receptor site in the blood of the Black genome. The receptor site is the CCR5 Delta 32+ (positive) gene that all people of color have. In the same sense, on the other end of the spectrum, is the 15 percent Caucasian population of the world, which is CCR5 Delta 32-(negative) gene. That means that under no circumstances, whether HIV came through the air, intravenous drug usage or any form of the sexual activity, would the virus be transferable in this sector of the world's population, which is basically of northern European descent.
It is speculated by some experts that, in a worse case scenario, 85 percent of the world's population could potentially perish under these designer viruses and designer synthetic biological agents. What we're looking at here-because of this identified gene of the Black genome, this CCR5 Delta32+ (positive)-we are potentially looking at the eradication of all people of color.

Maelezo zaidi yako kwenye tovuti yake aliyoitaja hapo juu. Wakubwa hii kitu imekaaje? Ninyi pia mliwahi kuisikia, na je ni nini maoni yenu? Ningefurahi sana kupata maelezo ya wataalamu wa fani ya tiba na mambo ya bayolojia, na of course wadau wa masuala ya usalama jinsi kitu kama hii inavyowezekana kuwepo, na kama kuna kitu wataalamu wetu wanaweza kufanya.

Mkuu,haya mambo bado yanabaki kuwa ni rumors kwani hata science haijathibitisha hivyo kwa 100% na kinachofanyika sasa ni kuzitengeneza hizo 'conspiracy theories' ili kuzivuruga akili za watu.
Nashindwa kumuelewa huyo mtaalam anaposema 'the HIV enzyme seeks out a receptor site in the blood of the Black genome. The receptor site is the CCR5 Delta 32+ (positive) gene that all people of color have'

Nijuavyo mimi ni kwamba;virusi vinavyosababisha UKIMWI(HIV-virus),ili viweze kuingia na kuziharibu chembechembe hai za kinga ya mwili wa binadamu(white blood cells aina ya CD4+ T lymphocytes) ni lazima zipate 'vipokezi'(receptors) vya kuruhusu virusi hivyo viingie ndani ya chembechembe hizo.
Hivyo vipokezi(receptors),kwa kitaalam ndiyo vinaitwa CCR-5(chemokine Receptor-5) ambavyo ni normal part of the cell.Sasa hizi receptors zenyewe ni proteins in nature na utengenezwaji wake uko genetically controlled.Sasa kukitokea 'makosa' katika utengenezwaji wake(mutation of the gene responsible for CCR-5 synthesis),ndiyo kunatokea vitu kama alivyosema huyo mtaalam hapo juu,yaani Human gene mutation CCR-5 delta 32.Sasa hii mutant gene CCR5-delta 32 haina muundo sawa na kazi sawa na ile normal HIV virus receptor CCR5,kwahiyo inamfanya mtu ambaye anazo asiambukizwe virusi vya Ukimwi kwakuwa hizi mutant receptors haziruhusu virusi kuingia kwenye kinga ya mwili na kuiharibu.Sasa basi;Inasemekana kuwa karibu 15% ya wazungu wana hizo mutant receptors yaani CCR5 delta 32 au unaweza kuwaita CCR5 delta 32+ na sisi weusi na waasia hatuna hiyo kitu yaani ni CCR5 delta 32-.Kwanini hawa wazungu wana hizo mutant gene?Wataalam wanaamini katika
historia.Kwenye karne ya 13 kulikuwa na outbreak ya bubonic plaque katika bara la ulaya.Iliwaua sana,lakini faida zake ikaleta hiyo mutation na vizazi vyao vikarithi na hivyo kuwafanya leo hii wawe resistant to HIV virus.Ukiweza unaweza ku google 'Black disease' na watakupa maelezo ya kutosha kuhusu hiyo historia.
Lakini pia watafiti wanasema kuwa virusi vya UKIMWI havitegemei njia moja(CCR5 receptor) ili kuingia katika cell za kinga za binadamu.Wamegundua pia kuna receptors nyingine zinaitwa kitaalam CXCR4 ambazo pia zinaweza kutumika kama njia ya HIV Virus.Hapa ndipo hii theory ya kusema wazungu wana kinga ya maambukizi kwa sababu wana CCR5-delta 32,inakuwa haijitoshelezi kwasababu wazungu nao wanaweza kupata maambukizi kwa hii njia nyingine kama wana kinga na ile njia ya kwanza.

Mkuu,ndiyo mana nimeanza kwa kusema hizi bado ni rumors.Kuna sheria moja ilipitishwa Marekani mwaka 1971 wakati wa Nixon,inaitwa public law 91-171 ndiyo hiyo wanaharakati hasa waamerika weusi wanataka a full disclosure ili waujue ukweli.
Baadhi ya mambo yanayosemekana kuwemo ndiyo hayo kama anavyodai huyo mtaalam kwamba ilipitishwa hiyo sheria ili kitengenezwe kijidudu cha kuwaangamiza watu weusi;synthetic disease causing microorganism that could differ from any other disease causing organism and for which no natural immunity could have been acquired and that synthetic agent could become a killer of mass populations.
Kwa mengi zaidi unaweza ku google pia hiyo public law 91-171.
Labda Obama akija kuwa Rais basi aweke wazi hiyo public law ili kukata mzizi wa fitina!
 
NIliambiwa kuwa Pan Africans wanaamini kuwa HIV ilitengenezwa kwenye maabara moja katika kambi ya kijeshi huko Marekani sijui zaidi

Labda hapa mtanifungua macho zaidi.
 
Back
Top Bottom