Kumaliza chuo sio ndo umepata maisha

Opticf

Member
Oct 4, 2012
62
4
Nashangaa sn ninapomuona mtu kamaliza chuo halaf anajua atapata ajira hatafut wala nn wkt watu wanakaa hd miaka mitatu bila kupata kazi lakin huyo mtu anakuwa na iman kuwa ataitwa tu cku moja. Ukiangalia hajasomea ualim wala udaktar maana kwa cz hzo ndo unaweza ukakaa kusubir upangiwe ki2o bt iman yote unakuwa nayo kuwa nikipata ajira mwaka mmoja tu ntamzid na yule aliyeanza kufanya kaz leo wakat huna uhakika ln utapata kazi. Jaman usione mtu anamaisha mazur ukasema alisubri tu kupata ajir amepitia sehem nying jaman vijana tujitume hapa mm mwenyewe natafuta sana kazi maana kuwa umekaa toka asubuh getho inabore. Tusake maisha vijana kwa juhud na sio kubweteka ni hayo 2
 
uko sahihi sana kaka.wape experience vijana.
 
habari ndiyo hiyo! mimi mwenyewe kupata job nilihaso ile mbaya pamoja na kuwa na vyeti vizuri sana, lakini sikutambulika ktk soko, kwa hiyo naungana na mtoa hoja, ukiingie intanet cheki website zote za kazi, ukiweza kata kitambulisho cha maktaba kila siku unasoma gazeti na unahakikisha unafanya application za kazi hadi sehemu ambazo hawajatangaza, vizuri ni gharama...omba hata internship bila malipo, me kazi ya kwanza nilipata baada ya kugoogle address mbalimbali za kampuni nikachagua moja nikaomba baada ya miezi miwili nilipigiwa simu nikaitwa interview , walipokompare CV na za wengine wakaona nafaa kwa hiyo nikala shavu.

Ni kweli vijana wengi wakimaliza chuo wanadhani ajira zinajileta zenyewe, hawahangaiki kutafuta na kufikiria kujiajiri maana kusubiria kuajiriwa hivi sasa utazeekea gheto.
 
Huwa naamini kuna miaka ya kusota kutafuta kazi kwani kwa tz ajira zinazoanzishwa ni chache sana kuliko wahitimu

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
habari ndiyo hiyo! mimi mwenyewe kupata job nilihaso ile mbaya pamoja na kuwa na vyeti vizuri sana, lakini sikutambulika ktk soko, kwa hiyo naungana na mtoa hoja, ukiingie intanet cheki website zote za kazi, ukiweza kata kitambulisho cha maktaba kila siku unasoma gazeti na unahakikisha unafanya application za kazi hadi sehemu ambazo hawajatangaza, vizuri ni gharama...omba hata internship bila malipo, me kazi ya kwanza nilipata baada ya kugoogle address mbalimbali za kampuni nikachagua moja nikaomba baada ya miezi miwili nilipigiwa simu nikaitwa interview , walipokompare CV na za wengine wakaona nafaa kwa hiyo nikala shavu.

Umetoa ushauri mzuri ndugu.
 
kinachotakiwa nikuitumia elimu aliyoipata ,shida ni mifumo yetu ya elimu inayotumika haikidhi matakwa ya sasa
 
kinachotakiwa nikuitumia elimu aliyoipata vizuri ,shida ni mifumo yetu ya elimu inayotumika haikidhi matakwa ya sasa
 
461966193.jpg
 
Ni kwel mdau usemayo, pia nakubaliana na Maro. Mfumo wetu waelimu ndio unaotutesa. M2 unamalza chuo kwakusoma historia za nchi zlizoendelea, unasoma kwakumeza il ufaul baada ya semister hamna k2 kichwan. Kwa hal hii 2tazdi kutegemea wahsan toka nje il wa2ratibie mambo ye2. "OGOPA KUFELI MAISHA NA SIO KUFAULU SHULE KWAKUEGESHA MADESA 2."
 
Back
Top Bottom