Kulikoni TRA Kila siku mtandao shida

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Huwa sielewi kwa nini TRA huwa na shida ya mtandao kila siku. Au ndio kufanya kazi kwa mazoea?
 
nilipata shida sana jana toka mchana, piga simu zote haziiti, ila nimefanikiwa kuitumia portal yao vizuri leo around saa tano asubuhi..headache kweli ila simu bado haziiti
 
Huwa sielewi kwa nini TRA huwa na shida ya mtandao kila siku. Au ndio kufanya kazi kwa mazoea?

Mkuu usichoelewa nini sasa? Watu wanakata mtandao ili mshindwe kutoa mizigo kwa wakati wao walambe storage charges.

Ninaamini TRA anaweza kumlipa the best provider wa kila kitu anachohusika nacho, swala la kua na system problem ni planned issue tu
 
mwaka wa fedha wa serikali unaanza tarehe moja, mwezi wa saba, ni janja ya TRA kuharibu mtandao hili huo mwaka utufike waanze sijui kuna addition, yani nchi yetu hii ni majanga aisee. nina wiki sasa toka nilipie mzigo wangu yani kupata kibali tu nenda rudi nenda rudi mara mtandao mara sijui mitambo inarekebishwa.
 
Back
Top Bottom