Katikomile
JF-Expert Member
- Jul 12, 2007
- 471
- 74
Kuna nyumba za NSSF maeneo ya Ada Estate, Kinondoni zilizojengwa pamoja na hospitali ya Tanzania Heart Institute. Zimekaa tu hazipangishwi wala haziuzwi, kuna nini?
Jamani wadau mbona kimya? Mwenye fununu atumwagie hapa!
Ndugu zangu hili la apartments za NSSF ADA ESTATE thank god ninalielewa vizuri na ninaomba nilitolee ufafanuzi.Ni kweli nyumba hizi ziliuzwa kwa tenda ya wazi.Waliotenda walikuwa ni zaidi ya mia moja na mshindi halali alipatikana na akalipa down payment kama ilivyo ada.Baadaye mnunuzi huyu alimalizia malipo yote na kukabidhiwa mali yake.Sasa huyu mnunuzi kama hajahamia hayo ni ya kwake na mipango yake.Si haki kila mfanyabiashara kumtuhumu eti ni EPA,wengine wana mipango yao halali ya kupata pesa kama hawa walionunua hizi apartments na ushahidi wa uhalali huu upo.tuwatendee haki.
mjasiriamalishupavu(brave entrepreneur) hivi unajaribu ku insinuate nini hasa? kuwa muwazi,au wewe ni mmoja wa walioshindwa kufika bei? kama umekuwa na ujasiri wa kufungua hii thread basi pia kuwa na ujasiri wa ku find out kama NSSF ilipata faida au hasara katika transaction hii na hilo litatusaidia wote,vinginevyo no research no kuongea.
ps:ukipata jibu la swali hilo usiache kuli post hapa ili ulimwengu mzima ujue ukweli.
Mkuu Bishanga.
Kwa vile umesema hii ishu unaielewa vizuri basi tuambie tu nani ni mmiliki wa hizi nyumba. Kwa vile ziliuzwa kwa open tenda basi lazima jina lake lilitajwa wazi. Kama alivyoainisha Mjasirimalishupavu, mfanya biashara kukaa na portfolio miaka yote hiyo haiingii kichwani hasa ukizingatia kuwa ni lazima anazilipia kodi kibao!
kuna tetesi zile nyumba zilinunuliwa na Quality GroupBishanga anataka tumpe mji ili ajibu kitendawili!!!
kuna tetesi zile nyumba zilinunuliwa na Quality Group
kuna tetesi zile nyumba zilinunuliwa na quality group