Kulikoni Mange Kimambi?

Anonymous said... SINA KINYONGO NA WEWE SINTA,NAJUA HAIKUWA AKILI YAKO ULIKUWA UNATAFUTA DUKA LA BIASHARA. I CAN RESPECT THAT. ISHI KWA AMANI.....



Nimemaliza jamani, sasa muache kuwasifu wadada wa mji huu sababu tu eti hawatukani wapo kimya mkiwajua mambo yao mtaona bora kina Mange.......

Wadada wa mujini na nyie kwa kupenda watu wenye pesa na kupapatikia harusi zisizo na michango, yangu ilikuwa na haki ya kupapatikiwa kwa kutochangisha sababu mume wangu anajulikana anafanya nini, ila nyie mnachetukaaaaaaaaaaaaaa na kupagawa na harusi ambazo hamjui pesa zimetoka wapi. Kuna siku mtajakuta mihela mliochetuka nayo ndo iliyosababisha ndugu yako kawa teja.... Mlikuwa mnamnyali before, sasa hivi mmemuona class yenu....lol.....



Shikamooni wakubwa, MSIJISTRESS KUSOMA HILI GAZETI PAPO KWA PAPO, TUMIA HATA SIKU MBILI MSIJE FUKUZWA KAZI MAKAZINI HUKO....



PS Narudia tena staki comments kijinga na matusi kama una comment naoimba uwe ya kiutu uzima,. Everyone is welcome to comment except you Bedui.Please take a break today, maana najua hii topic itakupandisha BP.....
July 19, 2013 at 4:35 PM
blank.gif

Anonymous said... Duh kula tano we dada , you know i always asked myself why isnt Millen being given airtime kila mtu Flaviana Flaviana kumbe ni wanamfanyia fitna. Lol.
Huyo Sophy ni msengenyaji wa kichinichini.Huwezi kumjua ubaya wake mpaka uwe very close. Wale wenzake ni waropokaji hawaangalii who is around, Sophie hafungui domo around people hawajui so utasema kasichana kapole ka sweet. sasa subiri abaki na wale watu wake close, Julie, Chaya,Kiki wewe anapandisha mpaka nguo mapajani akiongea sana sana iwe topic ya Mange anasema mie niliwaambia Mange atawaponza mkaniona mjinga mie ndo maana nilikuwa simpendi mkadhani naringa lakini nilijua. Kiki anapokea yamenikuta mwaka huu ningekusikiliza Sophy niliambiwa sikusikia, mmbaya kati ya wote ni yule mlokole feki Julie, Mange kama ulikuwa hujui kwenye lile kundi hakuna anaekuchukia kama Julie Claus, akianza kukuchambua utasema sio mlokole. Nacky nilivyomsoma hamchukii Mange ila inabidi awasupport wale wakiongea sababu ndo kesha ingia kundini na kundi zima halimpendi Mange, Basi umkute anajikosha Mange alinipigia simu ananiomba urafiki eti anasema hawapendi nyie ila mimi hana problem na mimi. Nilimchunia sana ila akawa anajikomba ananipigia simu kila mara, siwezi kuwa rafiki nae kwanini akawaanike kwenye blog hata kama mmemkosea si angewaambia.
Na anavyojua kuongea basi yule dada, ataongea huyo utadhani kaambiwa asipokubaliana nao watamtimua.
Mange your replacement in the group is Nacky ukitaka kurudi itakubidi umtoe Nacky.
Ngoja ninyamaze wasije kunistukia napotoa habari zao bure. msije kugombana mie sie mmoja wenu ila mmoja wenu anapenda kuhadisia maongezi yenu.

July 19, 2013 at 4:37 PM
blank.gif

Anonymous said... MANGE KIMAMBI
19 July 2013 at 03:25 | #
Ahsante Mungu kwa hii post. Hata mie i never understood why Matron wa CEO na Zeze wahawajawahi kumrusha Millen. Kumbe ni sababu ya kale ka Flavy?kweli hawa watu tusiwaone kwenye mapicha wamevaa wamependeza hawana utu.

I love Millen she is so beautiful and looks more like a model kushinda huyo Flaviana. Inavunja moyo sana kuona Shamim who claimed to be all for women kuwa ndo hasidi number moja kwa wanawake wenzake.

I have learnt one thing today. I will love the devil i know (Mange) than support these 'classy' women that as it turn out i dont really know
reply
July 19, 2013 at 4:38 PM
blank.gif

Anonymous said... Kwenye hiyo wedding bwana alipokea zawadi ya dola 20,000 from friends akamkabidhi shamim hahahaah hapo tu nikajua ni majangaaaaaaa!!pesa za sembe huwa zina mashauzi utumbo yale ya agnes masogange!----- mtutpu!
reply

ANONYMOUS
19 July 2013 at 01:39 | #
hahaha nilikuwepo sasa ungewaona wadada wa mujini walivyochanganyikiwa kuona Shamim anapewa dola 20 na mume wake. ndo mipicha instagram best wedding, best nini. hawaulizi zimetoka wapi? Ridhwani Kikwete aliona na hakumpa mkewe dola 20,000 mbele za watu itakuwa hawa wazungu wa unga? Mboni you are not missing anything. Thank your God you did not marry a criminal

July 19, 2013 at 4:38 PM
blank.gif

Anonymous said... Nyokooooooo bado mnaficha eeeh? siri imefichuka aibu nje nje. Mmezoe kujifanya wasafi Mange kawaumbua wana hizaya nyie.
Eti ilikuwa 1 yr ann ya the mbonie show, unamdanganya nani hapa? au mpaka tuweke tarehe ya 1yr annivery ya Mboni na ya aqdi ya shamim ndo mtajua tunajua?
Haya lets say tujifanye wajinga tukubali kweli tarehe ziligongana Mboni akatingwa haya basi hakupata hata muda wa kumuwisha Shamim hongera ya kuolewa kwenye instagram? wambea wote wa mujini walimuwish Shamim kwenye instagram kasoro Mboni. Haya siku ya reception? Mboni hakuweka hata picha yake mwenywe kuonyesha yupo harusini utaadhani hakuwepo. Huyu shamim the real day of mbonie show anniversary mbona hakuweka hata hongera mbonie?au alikuwa busy na harusi?

Haya kwenye kamati ulimwona Mboni pale? Mboni alikuwa kama kazamia harusi ya mtu the way she looked lost. Problem is Mboni and Shamim were practically twins na waliendana wenyewe na ule uswahili wao sasa Mboni kuwa mgeni kushinda hata wageni wenyewe ndo ilianzisha minong'ono bora hata asingekuja angesema ana malaria kali.

Naomba uingie instagram ya Mboni uone siku ya aqdi ya shamim aliweka picha gani ndo uje kutupoteza.
jamani mmeumbuka mkubali tu. Clean image gone.
Mboni ujanja wote ule sijui kwanini anamstiri huyu mtu yani ingekuwa mie Mboni my next episode would be about BACKSTABBING ------.

July 19, 2013 at 4:39 PM
blank.gif

Anonymous said... unajua hawa wanaojiita wadada wa mujini watakuja kuishia pabaya sana. I was really suprised how everyone of these town girls were trying to show off that they were either going to Shamim's wedding or that they were invited to Shamim's wedding. Utadhani walikuwa wanaenda kwenye harusi ya Beyonce, all this because they heard Shamim's husband is rich. They didnt even bother to find out rich doing what?

Yote tisa but dada mmoja kutoka Texas ndo alifunga dimba. Unajua dada alipiga picha nguo yake ya white akaweka instagram akasema Shamim im sorry i cant make it nimeng'atwa na nyuki enjoy your day. All this just for people to know that she was invited to Shamim's wedding? The same Shamim that they treat like a piece of shit just last yr, kusikia tu ana mume tajiri basi they all want to be close. VERY VERY VERY SAD.

July 19, 2013 at 4:40 PM
blank.gif

Anonymous said... kweli wajinga ndo waliwao yaani nakumbuka hii siku Mboni alikuwa na huyo bwana ambaye ndo bwana wa dada decent sasa akatoka huko kaenda kwenye birthday kumbe huyu bwana ndo kamlipia dada decent kila kitu mboni anajichekesha hata hajui majanga. Haya sasa kipindi anniverssary yake inakaribia Mboni alinipigia akalalamika kwamba mashosti wamemtenga na hawmsaidii wakati yeye huwa ni mstari wa mbele kwenye shughuli zao nikampa tu moyo na alhambhulila mambo yakaenda vizuri. Shamim ni snitch na mswahili sana. Kwana kipinci anatoka na huyo mme wake alikuwa pia ana jibaba jingine mme wa mtu na sijui kama kweli kaachana nae maana nae alikuwa anampa vijisenti ndo mambo ya madini yakaanza akaanza na kudharau wenzakte eti wanajiita team hatuchovi nyoo ndo hao hao hatuishi kwa mkopo kumbe wanachukua mkopo. Shamim utajuta mme wako huyo hesabu tu mwaka lakini lazima ntamchukua tu maana na mie hodari kukuzidi ndo utaona utamu wakuibia wenzako bwana. Na sasa hivi unajidai unataka kupiga pich ana mboni muonekane wote wakati ukweli wote uko nje kama si unafiki ni nini. Mboni kijuku cha mtume amekufanyai dua na kakuendea kwa mganga watch this space. Ndo maana hata hunenpi sura imekukomaa kama bibi wa miaka 50 na hayo meno yako kama ngiri. #okbye ntakuja sutwa bure

July 19, 2013 at 4:41 PM
blank.gif

Anonymous said... kamuacha baba iqra kisa hana hela,masikini baba wa watu msamehe bure.alafu kakimbilia kwa mwanaume kisana anahela za madawa ya kulevya.shamimu unapenda sana maisha ya juu,ivi unajua huyo mumeo wa pili alizipataje hizo hela adi wewe unazitumia.shamimu usipende maisha simple maana hata muda wa kumjua huyo jamaa sidhani kama unamjua vizuri,au kisa ana hela basi alivyo kwambia nata kukuoa fasta mtoto wa kike ukakurupuka.we shangilia tu hizo pete za diamond na tanzanite maaana yatakuja kukutoke puani kwa tamaana za kijinga.
jamani NDOA siyo lelemama na mwanamke smart anasifiwa kwa kuiendesha ndoa yake vizuri.
SHAMIMU MIJINO ACHA TAMAA YA FISI.

July 19, 2013 at 4:42 PM
blank.gif

Anonymous said... LOUIS VNITTON
18 July 2013 at 08:14 | #
Mimi nilikwambia siku nyingi sana kuhusu huyu dada wa "heshima", maana mwanzoni ile Bedui ameanza kudai tu kuwa "unamgeza" basi yeye alikuwa wa kwanza kumpromoti kwenye blogu yake kwa kuweka "duka" lake na mapicha mengine. Kiupande mwingine nilimuelewa kuwa anampa sapoti dada wa shogake - ex miss aliyekuwa anasoma IFM. Na hata huyo Linus naye nilijua anakuparamia kwa sababu ya kumpa sapoti dada wa shostito. Kwa hiyo kama ulikuwa hujui hawa walikuwa mashoga wakiunganishwa na huyo shoga mmoja.

Dada wa "heshima" ni kwa wale wasiomjua katokea wapi, na alikuwa anafanya kazi gani kwanza. Zeze alikuwa moderator wa Dar hotwire, yaani kule kulikuwa na matusi ya kufa mtu, halafu eti leo anasema watu wanakuiga matusi yako? Amesahau matusi ya Darhotwire? Au nyie kina Mange mlikuwa bado under 18 mlikuwa hamuingii kule kwenye forum za Darhotwire? Inawezekana, maana ile ilikuwa hot hot hot kuliko pilipili enzi zile hata JF haijafikiriwa kuzaliwa, ndio enzi za Darhotwire! lol!

Kitu kingine Mange, kuufunga hakukatazi mtu kusema ukweli, hakukatazi mtu kujitetea, na wala hakukatazi mtu kupigania haki yako. Ukiwa umefunga na una kitu kimekukera eti ukakaa kimya unasemea pembeni huo ndio unafiki na hauruhusiwi. Hapo ulipo hujamsenegenyenya wala kumteta mtu, kitu ambacho wengi wanaofunga wanakifanya, wewe umeweka kila kitu wazi, wote wataona na kujisoma humu. Nafikiri watu wengi wangekuwa kama wewe, hizi tabia za unafiki, uwongo, umbea na majungu zingepungua kama sio kwisha kabisa.

Jamani wanawake tupendane, acheni makundi yasiyo na kichwa wala miguu, acheni tabia za kujiona nyie ndio bora kuliko wengine, tusaidiane panapobidi tunyanyuane sio kunyanyapaana. Maana chanzo cha yote hayo ni kutaka kujiona nyie ni bora kuliko wanawake wengine. Nilishasema humu kitambo kama wengine mlikuwa hamjapata ujumbe wangu leo narudia tena, ANAEWEZA KUJIDAI KUWA YEYE NI WA MUJINI NI LILE SANAMU LA BISMIN TU PEKE YAKE, maana yeye pekee ndie yuko tangu Darisalama inaitwa Mzizima, wakati bibi yangu analima shamba lake viwanja wa Ikulu mpaka leo hii Darisalama limekuwa jiji lenye kila uchafu, vitimbi na vituko.

Ni mimi Dada wa Kijijini niliyezaliwa katikati ya Darisalama.
reply
July 19, 2013 at 4:46 PM
blank.gif

Anonymous said... usituchefue sisi. Nione mtu ana mpa tuzo za kijamii. Huyo Abdul nani asiemjua ni mzungu wa unga? Nenda Magomeni Mtaa wa Idrisa Muulizie Abdul hata vitoto vidogo vinamjua ni muuza sembe.

Abdul alikuwa anashinda na wauza magari pale dealers magomeni wasiomjua walidhani ni muuza magari. kazi yake tunaijua sisi.Abdul anauza mpaka unga wa kukopesha. Kama huna capital anakupa ukauze then ulete pesa.
nyinyi watoto wa masaki mtajuaje Abdul nyie? Abdul yule ni mtoto wa magomeni huko masaki kapelekwa na Shamim mwaka huu.

Msitetee msivyovijua Abdul ni muuza sembe wa miaka mingi ila pesa kaipata these last fews yrs. Ndo akadakwa na Mbonie Masimba. Mbonie akawa akienda vidate na Abdul anaenda na shogake Shamim. Mara Abdul akampiga Mbonie kibuti, Mboni akajua itakuwa ni zile break up za kawaida wala hakuhisi Shamim kamchukulia, Kumbe Shamim keshamgeuka zamani na alivyo msiri sasa? Ametembea na Abdul muda mrefu bila Mboni kujua, Mboni kaja kustukia juzi juzi tu kuwa alivyopigwa kibuti ni sababu shoga yake alichukua usukani. Mboni alilia kama mtoto. Mama yake mboni akamwita Shamim wamuulize sababu mama Mboni aliwalea Shamim na Mboni kama watoto wake hakuwabagua. Ila ndo hivyo pesa kitu kingine.

July 19, 2013 at 4:46 PM
blank.gif

Anonymous said... VICTORIA
18 July 2013 at 10:20 | #
BIG UP Mutoto ya Kimambi,muke ya muzungu,toto la kipare,mama ya watoto wawili kwa kweli nimekupenda bure na nimefurahi kuwapa ukweli.Uchonganishi ni kitu kibaya sana hata Mungu hapendi,nina uhakika lengo lako la kumueleza shamim kuhusu sinta ilikuwa unataka amani lakini kwa sababu ya unafiki wa shamim ndo mana leo mmefika hapo,maisha gani hayo ya kupenda kuona wenzako wanagombana?unapata faida gani sasa?nimesikitika sana,nimehuzunika sana watu mnakuwa kama hamna vitu vya kufanya jamani?namshukuru Mungu ndo mana sina marafiki na wala sitaki kuwa nao coz watu wako fake sana unaweza ukawa na mtu na ukamuona rafiki kumbe ndo adui yako namba moja lol sina hamu,pole sana Mange kwa yote ndo maswahibu ya dunia hayo and i believe you're a strong woman na ninaweza kusema kwamba ni wivu tu ndo unawasumbua jamani wivu ni ugonjwa mbaya sana na kinachowaumbua hawa wadada wa mujini ndo hicho.

Sinta
Nakusihi acha kutumika just live your life haitakusaidia sana,kashfa unazitafuta mwenyewe kwa kufikiri una mashoga kumbe wanakuzunguka na kukutumia,yani kweli umeamua blog yako ndo itumike kufanya ujinga ujinga tu wakati wenzio wanatumia kibiashara?shule imekusaidia nini sasa au ndo unataka umaarufu?use your common sense jamani unaambiwa hata kama watu wanakushauri ufanye hivyo but tumia na akili yako basi kidogo kabla hujatenda,hongera kwa kufungua duka usife moyo kukopa sio dhambi jitahidi basi kuishi maisha yako na epuka kutumika.

Shamim
Ni aibu kubwa kuwa wewe ni kinara wa ugomvi kati ya Mange na Sinta,omba msamaha na umwombe muumba wako msamaha as well,ulichokifanya sio kitu kizuri japokuwa kishetanishetani inaweza kuwa inakufurahisha,hivi unapata faida gani sasa?nakushauri ukatubu ulichofanya sio kizuri usipende kuonekana mzuri machoni kwa watu wakati kwa ndani ni mtu mbaya haitakusaidia fanya vitu vinavyompendeza Mungu acha kufurahisha macho ya binadamu haitakusaidia.
reply
July 19, 2013 at 4:48 PM
blank.gif

Anonymous said... Mju huu wa Dar es salaam ogopeni watu wawili Shamim Mwasha na Flavianna Matata. yani sijui hata nani anaemshinda mwenzake. Flavy ni mmbea jamani kile kitoto kioneni vile vile alafu kiko kama Shamim vile vile. Kipo kimya hakiongei utadhani ki mtu cha maana ila kipe nafasi ya kukujua tu kama hakijakuliza. Yani huko New York sijui anafanya kazi saa ngapi huyu binti maana masaa24 yupo kwenye mitandao anatafuta umbea. ukitaka umbea wowote ule wa Dar mtafute Flavianna Matata.

Alafu kina roho mbaya kile kitoto ndo maana kimekakamaa kama kigonjwa. Yani Shamim and Flavy were meant to be friends. wanafanana kila kitu utadhani walizaliwa familia moja.

Flavianna Matata kawapiga stop bloggers wote ambao ni rafiki zake wasiweke habari za Happiness Magese. Naamini mtakuwa mmeona hata Millen afanye jambo gani Shamim hawezi kuweka kwenye blog yake wala yule Kiki hawezi kuweka. Na hata huyu Mange wenu alikuwa haweki sababu alikuwaga kwenye lile kundi.
Flavianna kamzibia Millen kona zote Tanzania asipate publicity. Leo naomba utongee ukweli kama CEO. Huyu Flaviana hiko ki foundation chake mpaka leo kimetoa how much na how much of that cash comes of Flavy's pocket? Millen alikuja Tz this yr alifanya mambo makubwa sana ila hakupata any kind of publicity. Millen alitoa almost 100 million tsh, huyo Flavy wenu alileta ma life jacket ya second hand hayana hata thamani ya milioni 5 alafu mkampamba kona zote im proud of you, im proud of you. wanafki wanakubwa nyie.
We shamim ,MILLEN MAGESE KAKUKOSEA NINI HUTAKI KUMPA SUPPORT MWANAMKE MWEZIO? HUO UGOMVI WAKE WA KITOTO NA FLAVIANNA NDO MUMNYIE SUPPORT MPAKA TANZANIA NZIMA WANASAHAU KAMA MILLEN YUPO WAKATI MILLEN YUPO ANAFANYA BETTER THINGS THAT HUYO KIKOROSHO WENU FLAVIANA?WE KIKI MILLEN KAKUKOSEA NINI HUMUWEKI KWENYE BLOG YAKO?
ALAFU MNAJIFANYA HAMPENDI UGOMVI MNAMNYANYASA MILLENI KISAIKOLOJIA BILA SABABU YA MAANA. MILLEN KAJA TANZANIA KAENDA HUKO VIJIJINI ANAWEKA PICHA ZAKE INSTAGRAM HATA KUMCOMENTIA KUMWAMBIA HONGERA MNAKAA KIMYA SABABU MNAMWOGOPA FLAVIANA MATATA. WANAWAKE WABAYA SANA NYIE, MNAFICHA MAKUCHA YENU ILA KUNA SIKU MUNGU ATAWAUMBUA.

NA WE MANGE KWA VILE UMESHAGOMBANA NA HAWA VISEBENGO WA MJINI NAOMBA UMPE SUPPORT MILLEN WATU WAONE MAMBO ANAYOYAFANYA HUKO NY. MILLEN KASOMA FILM SCHOOL NEW YORK VERY EXPENSIVE MILLEN ALIITANGAZA TZ KWENYE MISS NIGERIA ALIVYOHOST NA DBANJ MABLOG YOTE YA AFRICAN WALIWEKA KASORO NYIE WATANZANIA WENZAKE. HATA YULE CHIZI FRESHI SINTA ALIWASHINDA ALIWEKA PICHA ZA MILLEN NA DBANJ. MILLEN ALIPOKUJA TZ KUNDI ZIMA MPAKA YULE BESTI WAKE SOPHIA BYANAKU MUKAMCHUNIA DADA WA WATU HATA KUTOKA NAE DINNER MASKINI YA MUNGU. UTADHANI FLAVIANNA KAWALISHA DAWA. MANGE MLISEMA MKOROFI HAYA MILLEN KAWAKOSEA NINI WAKATI ALIKUWA RAFIKI YENU NAKUMBUKA HATA ILE MISS TZ YA 2 YRS AGO MLIKAA NAE MEZA MOJA SASA HIVI HAMUMTAKI SABABU MMEJITENGA NA FLAVVIANA SHAME ON YOU. YANI KAMA KUNA WASHENZI MJI HUU NI HAWA WANAWAKE.
DO YOU THING MILLEN WANAKUBANIA PUBLICITY ILA MUNGU ANAONA UNACHOKIFANYA NA SISI WACHACHE TUNAOKU FOLLOW ONLINE TUNAONA KUNA SIKU WATANZANIA WOTE WATAONA.
MILLEN UMEENDA KUSAIDIA KUJENGA SHULE MTWARA HUKO WATU WANAJIFANYA HAWAONI ILA YALE MAPLASTIC YA ELFU TANO TANO NDO WANASIFIANA ASUBUHI MPAKA JIONI.
NIMEWACHOKA HAWA WADADA WA MJIINI.HIVI KWANZA WADADA WA MJINI NI TITLE GANI KWENYE MAKAMPUNI?MISHAHARA YAO NI SHINGI NGAPI?

July 19, 2013 at 4:49 PM
blank.gif

Anonymous said... MANGE KIMAMBI
19 July 2013 at 03:25 | #
Ahsante Mungu kwa hii post. Hata mie i never understood why Matron wa CEO na Zeze wahawajawahi kumrusha Millen. Kumbe ni sababu ya kale ka Flavy?kweli hawa watu tusiwaone kwenye mapicha wamevaa wamependeza hawana utu.

I love Millen she is so beautiful and looks more like a model kushinda huyo Flaviana. Inavunja moyo sana kuona Shamim who claimed to be all for women kuwa ndo hasidi number moja kwa wanawake wenzake.

I have learnt one thing today. I will love the devil i know (Mange) than support these 'classy' women that as it turn out i dont really know

July 19, 2013 at 4:49 PM
 
Back
Top Bottom