Kulikoni ITV hamuitangazi Startimes?

Majala Kimolo

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
342
39
Nimeangalia tangazo la ITV linaloelezea upatikanaji wake kwenye ving'amuzi mbalimbali na Satelite. Lakini nimestaajabu hawakuitaja Startimes. Najiuliza iwapo ni technical error au imekusudiwa? Je, kuna bifu au ndo kuchokana. Mwenye habari kamili atujuze
 
Star times wanakera sana hata wasipotajwa na itv hakuna jipya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom