Kuku wa kienyeji

laigwenan

JF-Expert Member
Apr 13, 2012
325
79
:frusty: Mi nimfugaji wa kuku wa kienyeji kwa muda sasa tabia ya vifaranga kufa inani katisha sana tamaa, inanifanya kuwa mnyonge kwani sielewi tatizo ni chakula (wanadai vyakula hivi vya kununua vinadawa za kuzuia panya ambavyo vina dhuru vifaranga au hali ya hewa ni mbaya au baridi sielewi cha kufanya, wana JF chonde mnisaidie nipate akili maana kama ni dawa wanakunywa sijui shida iko wapi mfano mwaka jana nilikuwa na vifanga 100 nikawafuga walipo timiza miezi miwili walikufa na kubaki wawili tu , mwaka huu nime zalisha vifaranga 120 wana miezi 2 wame anza tena kufa sasa wameaki 50 Vipi nikate tamaa?.:frusty:
 
Nenda jukwaa la ujasiriamali hapa si pake hata kidogo.

Utatukuta huko ndg yangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom