Josevic Member Apr 30, 2013 19 11 Apr 30, 2013 #1 Sijui hata nijitambulisheje! Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...Me kamba yangu iko wapi?
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 May 1, 2013 #4 Josevic said: Sijui hata nijitambulisheje! Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...Me kamba yangu iko wapi? Click to expand... Pita ndani mgeni, hakuna haja ya kamba maana hutaweza kututoroka.
Josevic said: Sijui hata nijitambulisheje! Kuku mgeni hakosi kamba mguuni...Me kamba yangu iko wapi? Click to expand... Pita ndani mgeni, hakuna haja ya kamba maana hutaweza kututoroka.