Kukosekana huduma yamaji msasani, mikocheni, kawe..

mpenda pombe

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
1,385
680
Wadau leo ni siku ya tano, hakuna maji, wala tone kwenye mabomba yetu, na sijasikia tamko lolote la DAWASCO.. Kiukweli hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida wa maeneo haya.. Tafadhali DAWASCO tupeni taarifa rasmi ili nikitu gani kimejiri, kwami maji ni muhimu kwa maisha ya kila siku kwa binadamu..
 
Wametunyima maji eti ndio mbinu ya ccm kutufanya tusiende kwenye mkutano wa Chadema; wakatuzimia na umeme siku ya mkutano ili watu wasione NYOMI ya chadema pale jangwani; hawa magamba ni washenzi sana !!
 
Hayajatoka siku 5?ninyi mnadeka kweli,wakati cc cjawahi kabisa kuyaona yatoke tangu 2009 walipoweka mabomba.
 
Back
Top Bottom