Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 726
- 1,850
Aliyesema kupanga ni kuchagua hakukosea
Kwa mtu anaejielewa sio jambo la kukurupuka anapoamua kuchagua mtu awe Baba wa watoto wake au mtu awe Mama wa watoto wake , ni lazma akae chini asugue akili afanye mahesabu ya kutosha sio ya kwake mwenyewe tu ila hadi ya vizazi vyake anavyotarajia kuvileta Duniani.
Je huyo anaetarajia kuolewanaye ana sifa ya Kuitwa Baba au Je huyo anaetarajia kumuoa ana sifa ya kuitwa mama na kumtunzia Familia. Zingatia maamuzi ya leo ndio matokeo ya kesho