KUkONYEZA!!!

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Hivi ile sheria iliyotungwa kumkandamiza mwanaume anapomkonyeza mwanamke ilikuja ishia wapi?
Wadada mtusaidie je, nikweli kwamba mwanaume akikukonyeza anaamsha hisia/mshawasho wa kimapenzi?

Nilipokuwa ughaibuni ....kwenye nchi ile kukonyezana ilikuwa jambo la kawaida mno!!!!!
 
Sheria huenda bado ipo na inatambulika, lakini wahusika wenyewe wanafurahia kukonyezwa....! Hivyo, mashtaka hazifunguliwi....!
 
Hivi ile sheria iliyotungwa kumkandamiza mwanaume anapomkonyeza mwanamke ilikuja ishia wapi?
Wadada mtusaidie je, nikweli kwamba mwanaume akikukonyeza anaamsha hisia/mshawasho wa kimapenzi?

Nilipokuwa ughaibuni ....kwenye nchi ile kukonyezana ilikuwa jambo la kawaida mno!!!!!

HIVI MWANAUME AKIKONYEZWA AU KUBAKWA NA DEMU INAKUWAJE?!:focus:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom