Wanajamii,
Hii habari kwamba ndege yetu imekamatwa huko Canada kwa sababu serikali yetu inadaiwa kuja hivi sasa wakati majadiliano ya makinikia yakiendelea kuna muunganiko mkubwa Sana.
Kwanza kampuni ya Acacia ipo Canada, ndege yetu inatengenezwa Canada, kampuni inayoidai serikali yetu baada ya kuvunjiwa mkataba pia ni ya Canada. Kwa vyovyote vile hawa jamaa wa Canada wameshirikiana kwa hili jambo ili kukwamisha ujio wa ndege yetu.
Nawakilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app