Kukaliwa

Nijuavyo mie kukaliwa ni ile hali ya mwanaume kuwa controlled na mkewe kwnye kila jambo to the extent anakosa maamuz yake binafsi na nafasi yake kama kichwa cha familia inakua imechukuliwa na mkewe. Mwanaume anakua kama bendera inayofata upepo(mkewe) yani anakosa sauti kama baba anapelekwapelekwa tu kama gari bovu. Mkewe akifanya kosa hathubutu kumuuliza maana atajibiwa kwa ukali. Kukaliwa kwa mwanaume ni kuwa na nidhamu ya woga kwa mwanamke in short mwanaume anakua kama ameolewa hiyo ndiyo kukaliwa.
NB: mwanaume kujali familia yake co kukaliwa!
 
Tatizo pale akili za mwanamke ziatapogoma kukubali ukweli hasa mambo yanapobadilika na kumhitaji mwanaume kubadili baadhi ya hayo unayoongelea. Itapofika hapo lazima mwanaume utapelekeshwa hadi ujute why ulweka huo utaratibu very plainly!
 
Nijuavyo mie kukaliwa ni ile hali ya mwanaume kuwa controlled na mkewe kwnye kila jambo to the extent anakosa maamuz yake binafsi na nafasi yake kama kichwa cha familia inakua imechukuliwa na mkewe. Mwanaume anakua kama bendera inayofata upepo(mkewe) yani anakosa sauti kama baba anapelekwapelekwa tu kama gari bovu. Mkewe akifanya kosa hathubutu kumuuliza maana atajibiwa kwa ukali. Kukaliwa kwa mwanaume ni kuwa na nidhamu ya woga kwa mwanamke in short mwanaume anakua kama ameolewa hiyo ndiyo kukaliwa.
NB: mwanaume kujali familia yake co kukaliwa!

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja akiwa na shida huwa namkopesha hela freely, lakini when it comes kwa mimi kumkopa........huwa ananiambia eti mpaka akaongee na mkewe......yaani huwa nabaki nacheka tu na kujiuliza hivi huenda basi hata anavyokuja kunikopa huwa anaelekezwa na mkewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom