Kuivunja UVCCM ni sawa na kuizika CCM, huo ni uvumi, hili haliwezekani

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Akiongea na gazeti la mwananchi katibu mwenezi wa CCM Nape Amekanusha kuwepo kwa ajenda ya kuufuta umoja huo katika vikao vya chama huko Dodoma. Nionavyo, kwa hali ilivyo hivi sasa katika chama hicho hilo haliwezekani. Kuufuta umoja huo ndio itakuwa tiketi ya kukipeleka chama hicho kaburini.
 
Kwani umoja wa vijana sasa hivi unafanya kazi gani ya chama. Si ni hawa wapagazi wa Lowassa na mafisadi wenzie? Kama unajaribu kutetea ukidhani unajua sana, walio ndani ya chama chao wanajua kuliko wewe na wameridhika kwamba jumuiya hii haina faida kwa chama.
 
Hajatetea kitu.Ametoa maoni yake akimaanisha kwamba UVCCM ni mhimili wa chama na hivyo kuifuta ni sawa na kukifuta chama chenyewe!Hapo utetezi uko wapi?Tuache watu watoe maoni yao,tuyasome na tuyaelewe then tuyachukulie kama ni maoni tu.Vinginevyo sijaona tatizo kwenye maoni yake.
 
Kwani umoja wa vijana sasa hivi unafanya kazi gani ya chama. Si ni hawa wapagazi wa Lowassa na mafisadi wenzie? Kama unajaribu kutetea ukidhani unajua sana, walio ndani ya chama chao wanajua kuliko wewe na wameridhika kwamba jumuiya hii haina faida kwa chama.

Msomaji makini hutumia akili iliyo katika ubongo wake. Ukitumia makalio siku zote huwezi kuelewa chochote. Utabaki kuwa mbumbumbu mzungu wa reli.
 
Kwani umoja wa vijana sasa hivi unafanya kazi gani ya chama. Si ni hawa wapagazi wa Lowassa na mafisadi wenzie? Kama unajaribu kutetea ukidhani unajua sana, walio ndani ya chama chao wanajua kuliko wewe na wameridhika kwamba jumuiya hii haina faida kwa chama.

Dont dare to fool men that you are holly,or an angel,nakuhakikishia Lowasa hatoki CCM.mtaaibika at the end of the day na atakua kiongozi wa hili taifa siku zijazo
 
Labda kama ni CCM yake binafsi. lakini kama unazungumzia Chama Cha Mapinduzi cha Mwenyekiti Kikwete, Lowassa kwishney! Whether I am an angel or devil, but you can take this to the Bank. Dalili ziko wazi na mwenyewe anajua.
 
Back
Top Bottom