Kuitwa kazini tume ya utumishi wa mahakama

Dadio

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
359
42
Wadau tafadhali mwenye taarifa kuhusu kuitwa kazini na tume ya utumishi wa mahakama atujuze tafdhali..
 
mbona wametoa tena nafasi .halafu walikuwa wanapiga simu kuita watu kwenye interview mlipomaliza nyie
 
Ndyo wametoa nyingine 300 lakn za awali hawajaiata watu kazini.
 
Back
Top Bottom