Kuitwa kazini TRA (Wiki ya lala Salama)

Msiwe nA haraka possibility ni mtaitwa training wiki ya pili ya FeBruaRy. SasAhiVi chUo chA trA waNafaNya mItihaNi ya kUfuNga so waKifunGa ndipo MtaKapoitwa tRaining. JusT reLax and KeeP ur fiNgers crosseD.
 
Alafu watu kama nyinyi mnaoleta taarifa za kizushi humu inabidi waanze kuchukuliwa hatua kama alivofanyiwa supu ya mawe maana mizaha inazidi sana humu, yaani kazi yenu imekuwa kuwapa presha tu watu. Kama mtu huna cha kuposti we soma tu post za wezako sio lazima kila mtu apost especially kama huna taarifa za kutosha(huna uhakika).
 
afu bora useme unahisi na sio kwamba ni habari za kutoka ndani. huyu jamaa ni kenge mazafanta kabisa
 
Kuna tetesi kwamba baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kodi wameandika barua ya kulalamika kwamba usaili haukua fair!!!
Moja ya sababu ni mtihani kufanyika awamu mbili......

Naomba Mungu isiwe hivyo sababu tulitumia mud a wetu na kusafiri pia jmni mwenye habari za uhakika atujuze
 
hivi hamjiulizi ofisi gani inaitaji watu inatangaza kazi afu inakaa mwaka mzima ndo iajiri? usanii mtupu mmeshaliwa
 
Candidates there is no need to panic on as you have already done your best the rest God will do
 
jaman TRA ndo washatusahau kabisaa yaan....
Naona wanazid kutangaza kaz mpya tuu.
Mungu azid kutupa moyo wa subira.
 
Back
Top Bottom