Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,903
Serikali imeamua kubana zaidi matumizi ya bangi. Nchi nyingi zimegundua vita dhidi ya dawa za kulevya ni futile hivyo zimeamua kudecriminalize matumizi ya madawa ya kulevya. Kutumia madawa kwa baadhi ya nchi siyo kosa la kufungwa.
Nasikia nchi kama Ureno zimefanya hivyo, na matokeo yamekuwa mazuri. Na duniani kote kuna mijadala juu ya kudecriminalize matumizi ya dawa za kulevya, kwa nini sisi tunakuwa visengere nyuma?
Hili la kubana sana bangi litakuwa na matokeo mabaya na kujaza nguvu kazi jela, na kutumia resources nyingi za nchi kuthibiti.
Unaonaje hili suala la serikali kuongeza mbinyo kwenye bangi?