Kuhusu Taasisi zinazotoa Mikopo...

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Heshima yenu wakuu.
Nina shida ya kupata mkopo lakini nimekosa sifa ya kupata katika benki zetu. Benki ya NMB mshahara wangu haupiti huko hivyo nimekosa sifa, CRDB ambako ndiko mshahara wangu unapitia wameniambia kuwa hawana mkataba na mwajiri wangu.
Naombeni mnipe uzoefu wenu kama taasisi nyingine zinazotoa mikopo kama BAYPORT, FAIDIKA, FINCA zinaweza kunikopesha, na kama mkopo wao haumuumizi mkopaji.
Asanteni.
 
Take my word..huko kwenye micro finance i.e finca,seda,pride etc...kama unakopa kwa ajili ya kujenga,kununua gari,kusomesha and the like..utakuja lia mkuu..

Kama kwa ajili ya biashara hapo poa.
 
Nahitaji kwa ajili ya kujenga......hawafai eeh!!
 
Kama salary yako haipiti NMB Unaweza fungua akaunti nmb then,unalambia mkopo huko huko na inakuwa extra acc.no..Wala haina complication,Mi nlishawai fanya ivyo.Bt Hizi taasis nyngne ni zaidi ya vimeo.Ukifanya mamuzi hayo utatamani uache kazi esp.BAYPORT.Ukizidiwa Sana nenda Faidika ndo angalau kiaina.
 
Siku hizi NMB hawatoi mkopo hata kama una akaunti nao, mpaka mshahara upitie kwao...
 
Take my word..huko kwenye micro finance i.e finca,seda,pride etc...kama unakopa kwa ajili ya kujenga,kununua gari,kusomesha and the like..utakuja lia mkuu..

Kama kwa ajili ya biashara hapo poa.
Na hata kukopa pesa kwenye hizo taasisi kwa biashara pia uwe makini kwani kama ni biashara inayosuasua(ambayo hailipi vizuri) usidhubutu maana riba yao ni zaidi ya 60%.
 
Thanx God you are there.
 
Dont try this. Hayo mashirika ogopa kabisa. Kiasi unachokopa mara 6 uko tayari? Afu wanakata tofauti na makubaliano. Utalia
 
Kumbe hawa jamaa ni hatari..! Kama nikihitaji mfano mkopo wa milioni 5?
 
Kwa Tanzania suala la mikopo bado tuko nyuma sana. Hata bank zetu zinatoza interest kubwa sana. Nashangaa serikali haijuhi umuhimu wa mikopo katika maendeleo ya nchi. Nchi zote zilizoendelea na makampuni makubwa yanafanya biashara kwa mikopo
 
Na hata kukopa pesa kwenye hizo taasisi kwa biashara pia uwe makini kwani kama ni biashara inayosuasua(ambayo hailipi vizuri) usidhubutu maana riba yao ni zaidi ya 60%.

Riba kubwa namna hiyo...kweli hawa jamaa hawafai.
 
Kwa Tanzania suala la mikopo bado tuko nyuma sana. Hata bank zetu zinatoza interest kubwa sana. Nashangaa serikali haijuhi umuhimu wa mikopo katika maendeleo ya nchi. Nchi zote zilizoendelea na makampuni makubwa yanafanya biashara kwa mikopo

Kweli serikali inabidi iangalie hawa jamaa wanakata riba kubwa sana.
 
Back
Top Bottom