Kuhusu muswada huu, CCM wanajichimbia shimo

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Wana CCM na watawala hawafikiri vizuri, mawazo yao ni kutawala milele lakini wanasahau wanaoamua ni wananchi kuwapa ridhaa hiyo.

Wanataka katiba itakayowabeba. Siku chama cha upinzani ikishinda itakuwaje ? watalalamika ? Hiyo katiba itatumika kuwabania.

Mimi ninahamu kubwa wamalize shimo hilo. Kwa hali inavyokwenda huku mitaani CCM ina wakati mgumu uchaguzi wa 2015.
 
Tambua hakuna bingwa wa kupingana au kupambana na WAKATI so ni muda mwafa wa kuzika MAGAMBA,MAOVU,DHULUMA NA UBABE WOTE WA CCM.Japo CCM ni vipofu kupindukia ila wajue hawatakiwi kabisa ni zaidi ya wateka nyara waharamia coz unavyoona maisha duni kwa watanzania sababu ni CCM na MAGAMBA yake. CHADEMA big up ukomboz waja nchini cku za usoni.
 
Back
Top Bottom