Kuhusu HATI ya shamba

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Wakuu naombeni msaada wenu maana inabidi nifanye haraka iwezekanavyo so nahitaji hasa mawazo na nini nifanye,mwaka 1997 nilinunua ekari kama 4 hivi mbezi ya morogoro road kipindi hicho kulikuwa kuna pori sana na nilinunua kwa shilling 9,000 tu.....so sasa hivi hiyo sehemu watu wamenizunguka na ni mjini na magari yanaingia mpaka hiyo sehemu...so msaada niliotaka nilikuwa nataka kuweka hati ya hizo eka 4 maana nilinunua ila nahitaji hati so kuweka hiyo hati inaweza kunicost bei gani??Kwa ekari hizo nne??Nadhani humu kuna wataalam naona watanisaidia...Naombeni msaada wenu please maana hiyo sehemu ni mimi tu ndio sijajenga ila walionizunguka wamejenga.

Natanguliza shukrani zangu!!!
 
Mkuu kwa Sheria mpya, Huwezi kupata hati kama hakuna master Plan, Hebu nielezeee uko hiyo mbezi sehemu gani ili nijue kukueleza zaidi
 
Thannks mkuu nitaku PM sasa hivi nikupe more details zaidi!
 
umefikia wapi?
njia rahisi weka uzio wa senyenge,fence the whole place weka geti,anzisha huduma ya kupark/kulaza magari kwa gharama ndogo,e.g 1000,or even 500 per night,katia biashara yako insuarance,.
lengo hiyo sehemu itakuwa ya biashara na watu hawatokuwa na wazo la kulichukua or kulimega or kuligeuza njia ya kugeuzia magari etc.
hati unaweza kupata ,mtafute JF member bluetooth,yupo more conversant na masuala ya ardhi-real estate
 
ni hatua gani zianzo tumika mtu kupata hati miliki ya kiwanja? kiwanja cha nyumba ya kuishi chenye eno la m 609 kilichopimwa na serikali na nikwa gharama zipi?wily4tz2@yahoo.com
 
ni hatua gani zianzo tumika mtu kupata hati miliki ya kiwanja? kiwanja cha nyumba ya kuishi chenye eno la m 609 kilichopimwa na serikali na nikwa gharama zipi?wily4tz2@yahoo.com

Sijakuelewa

- kiwanja kimeshapimwa au bado?
- kupata miliki, una maanisha hati iwe na jina lako au kuanzo kupima mpaka mpaka kupata miliki (hati)?
 
umefikia wapi?
njia rahisi weka uzio wa senyenge,fence the whole place weka geti,anzisha huduma ya kupark/kulaza magari kwa gharama ndogo,e.g 1000,or even 500 per night,katia biashara yako insuarance,.
lengo hiyo sehemu itakuwa ya biashara na watu hawatokuwa na wazo la kulichukua or kulimega or kuligeuza njia ya kugeuzia magari etc.
hati unaweza kupata ,mtafute JF member bluetooth,yupo more conversant na masuala ya ardhi-real estate

Thank you sana mkuu kwa msaada wako mzuri.....Na sorry kwa kupitia hapa na kucheck...Hamna tatizo nitamcheck jamaa anipe ushauri zaidi na nitajaribu kufanya kama ulivyonielekeza
 
Umesema heka 4?, fasta jenga vibanda, kimoja kila robo heka uwe na ukakika jamaa wakija wasikupore hii Serikali ya Mkwere hawaeleweki na kama hujapanda kitu watakurudishia hela yako uliyonunulia na kiwanja kimoja tu - Mjini hakuna mashamba kaka mjini ni viwanja.

Kama una pesa pimisha viwanja then andika majina ya wanao na mkeo - hali ni mbaya mkuu usije ukalia bila kupigwa.
 
Back
Top Bottom