Kuhusu database ya utumishi

Mzee asubuhi njema, Mimi ubishi siwezi mkuu
Wewe mbishi watu kibao ambao waliwekwa reserve katika database wanapigiwa simu wakafuate barua zao na hawakutoka kwenye orodha yoyote. Jamaa naona kajaribu kukuelekeza humuelewi.
 
Majina yanakuwa kwa database kwa mda wa miezi sita then yanaondolewa kama hakuna kazi ya namna uliyoomba ikatangazwa kwa agency ileile.

mf TRA wakitangaza kazi zao na ukafanikiwa kupiga usaili hadi oral lakini usibahatike kuitwa kazini na ulikidhi pass mark walioitaka kwenye oral ndo jina linawekwa kwenye database, sasa ikitokea TRA kwa mara nyingine tena ndani ya miezi sita wakatangaza kazi ya kada ileile ndo unapata nafasi ya kujumishwa pamoja na wale walioitwa kazini
 
Si kweli hapo chini kwenye Mfano wa TRA Database haifanyi kazi hivyo inafanya kazi ni pale ambapo kuna uhitaji na haitangazwi kazi yatatoka majina ya Replacement au Utapigiwa simu ila si kweli Taasisi itangaze kazi alafu watu wapige written then Oral ila katika majina ya kuitwa kazini wewe uwekwe kwenye hiyo Taasisi na wewe ujunuishwe inakuwa si maana halisi ya Database Mkuu.

Si kwamba mimi nimjuaji zaidi ili hivi ndivyo wanavyoielezea jamaa Waliopo hapo PSRS.
 
Back
Top Bottom