Kuhusu ajali ya meli, wanasiasa watatumaliza kwa tamaa zao --- fuatilia hapa

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,367
1,519
Poleni watanzania wenzangu, pamoja na walipotelewa na ndugu! RIP kwa wote waliopoteza maisha!!

West Coast Ferries Forum - Skagit & Kalama

Inakuwaje mtu mzima na familia yake anafanya maamuzi ya kipuuzi kiasi hicho tena siyo zama za mawe au zile za kijima? How can somebody call himself/herself a Tanzania while his doings is not for Tanzanians? Why? why? Lets work up and save our country, tuungane kwa pamoja tuseme NO for personal interests and YES for interests of our country.

Hilo Ferry lilizozama lilishapigwa marufuku tangu mwaka 2006, inakuwaje basi sisi wabongo pamoja na kujenga vyuo vikuu kila kukicha, tunakatwa mishahara kwa ajili ya kusaidia huduma za jamii lakini ndo zinageuka kuwa kaburi la wenzetu? NO NO NO, lets play our part, I am sure somebody has to be respond with this, siyo kila kitu Mungu kapanga.

West Coast Ferries Forum - Skagit & Kalama

Nawasilisha wanaJF.
 
Hii ni miili ya vichanga vilipoteza maisha kutokana na ajali ya meli, inauma sana! sijui kwa nini waziri mwenye dhamana asijiudhuru>
549147_475233562486674_2141647690_n.jpg
 
Ondoa hii ya Feri mtumba,kama ajali ya jana ingetokea kwa wenzetu mamlaka husika zingesimamisha Feri zote kwa ukaguzi maalumu.
 
Poleni watanzania wenzangu, pamoja na walipotelewa na ndugu! RIP kwa wote waliopoteza maisha!!

West Coast Ferries Forum - Skagit & Kalama

Inakuwaje mtu mzima na familia yake anafanya maamuzi ya kipuuzi kiasi hicho tena siyo zama za mawe au zile za kijima? How can somebody call himself/herself a Tanzania while his doings is not for Tanzanians? Why? why? Lets work up and save our country, tuungane kwa pamoja tuseme NO for personal interests and YES for interests of our country.

Hilo Ferry lilizozama lilishapigwa marufuku tangu mwaka 2006, inakuwaje basi sisi wabongo pamoja na kujenga vyuo vikuu kila kukicha, tunakatwa mishahara kwa ajili ya kusaidia huduma za jamii lakini ndo zinageuka kuwa kaburi la wenzetu? NO NO NO, lets play our part, I am sure somebody has to be respond with this, siyo kila kitu Mungu kapanga.

West Coast Ferries Forum - Skagit & Kalama

Nawasilisha wanaJF.
Sio Tanzania ya leo hata ile ilozama mwanzo story ni kama hi tu.. Ununuzi wa vitu chakavu una madhara yake na maadam tumeachia uwekezaji pasipo sisi wenyewe kuweka viwango vyetu basi haya yatakokea sana tu. Mwanzoni mwa mwaka huu nilisoma taarifa ya vifo vya barabarani nilipata shock maana inakadiriwa kila mwaka hufa watu 20,000 kwa ajali za barabarani yet hakuna hatua zozote zimefanywa kupunguza ajali hizo zaidi ya kutoza fine, Magari mabovu mengi yako barabarani hayana breaks pad zimekwisha hadi kwenye chuma, mengine spring na tyrerod end zimefungwa mipira au kamba ili mradi gari liende..Tunategemea kipi kitatokea?..
 
Ee Mungu uwapokee roho za marehemu wote, AMEN. Mungu angalia watu wako wanavyoangamia bila sababu. hii ni sababu ya wenye tamaa ufisadi uliokithiri nchini mwetu. Watoto wadogo hawana hatia yoyote, taifa letu la kesho. Ee Mungu wetu njoo haraka tunaangamia rudi katika nchi yetu ya Tanzania. Damu hizi zinazomwagika bila ya hatia eeh Mungu tuhurumie.
 
Kuna mambo mengine hata maneno hayatoshelezi... Tumesema sana jamanii... Inauma kwa kweli. Sad.
 
Pumbavu zao eti wanadai ni ajali ya kimaumbile eti haihusiani na hitilafu ya chombo kwa hiyo hakuna mtu wa kumlaumu

Kenge wao ina maana hawa wa utabiri wa hali ya hewa hawakuiona hii? Je hawakustahili kutoa tahadhari

Mnanichefua Nyalandu na wenzako bora msifungue midomo yenu iliyovunda.
 
Back
Top Bottom