nyabhingi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 15,515
- 20,005
nyabhingi acha uduanzi wewe.. joyce mhavile hana sababu za kulalamika kwani wanavyo ving'amuzi vyao vya digitek. wanachopaswa kufanya ni kuwashauri watumiaji watumie ving'amuzi vyao tu na sio kupiga mayowe
mbona kama unatetea uhhalifu!kwa hiyo kwa vile wana king'amuzi chao ndo wahujumiwe!??hivi hujui kuwa star times kuna kodi zetu?