Kufuta Chale za wanga

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,320
33,125
Y.jpg

KUFUTA CHALE ZA WANGA

kwakweli ukiongelea juu ya chale za wanga,jua kwamba kuna watu watapata shida kukuelewa, lakini ukweli chale za wanga ni aina ya MIHURI ambayo huwa anawekwa mtu usoni na wachawi.

ukisha wekwa mihuri hiyo huwa Ni ngumu kutibika na huishi kuumwa mpaka uifute mihuri hiyo.ambayo Ni alama ndogo sana na hujulikana kwa wenye ujuzi.

AINA YA MIHURI NA DALILI ZAKE

1)) CHALE ZA KUFANYWA MSUKULE

ukiwekea alama hizi, huwa utashangaa unaumwa sana na maumivu yasiyo eleweka,na ndoto zako ni kuota ukifanya kazi ngumu na kuamka umechoka sana na homa isiyo tulia,kama ukienda kwa waganga utaambiwa kuwa una mambo ya kimila ufanyiwe

2 )) CHALE ZA KUKARIBISHWA UCHAWINI

jua kwamba wachawi huwa kuna watu huwatamani wajiunge na uchawi,na hivyo huwaalika uchawini, na kuwafanya watu hao wawe na ndoto za kuota wakiwa katika mikusanyiko ya watu na kupika vyakula,na ikitokea umeonekana hutaki uchawi utapewa maradhi ya matumbo na mwili kuwaka moto pamoja na kukosa usingizi,maradhi ya pressure na homa zisizo kwisha
3 chale za mwili wa kufundishia
kuna mtu ambaye mwili wake ni kama uwanja wa mazoezi kwa kufundishia uchawi wanafunzi wao,huyu huwa na ndoto za kula kula usiku,pia huwa magonjwa ya ajabu sana, na hospital hawaoni ugonjwa japo mtu anaumwa sana

4)) CHALE ILI KIVULI CHAKE KITUMIKE

kuna mtu ambaye kivuli chake kinatumiwa na wachawi, mtu huyu huwa na ndoto za kusafirisafiri sana,pia anakuwa akishutumiwa uchawi mtaani na ndugu pia hali ya kuwa yeye hajawahi kuroga na hajui uchawi, pia ana kuwa kama mtu mwenye nuks na mikosi na kutopendwa na watu pamoja na kusemwa ana maringo na hali haliringi

5 )) CHALE ZA WATOTO WA WACHAWI

kuna mtu wazazi wake au shina lake Ni wachawi, huwa na mihuri ya kumjuza kwa wachawi wenzao kuwa na mwana wao,mtoto huyo huaribikiwa maisha na kushindwa kupata masomo na kuwa uelewa mbaya darasani, iwapo ameukataa uchawi baada ya kuwa alikwisha ruka na kula baadhi ya nyama za watu.pia huwezwa kupewa ugonjwa wa kuanguka na kuwa kama zezeta ambaye ugonjwa haunekani hospital

6 )).CHALE ZA MCHAWI MWENYEWE HIZI HATUTAONGELEA ITABAKI KUA NI SIRI YA MTATIBU

Ila zingatia kwamba ukisha kuwa naCHALE unaweza kuonekana una maradhi mengi ya ajabu ikiwamoUVIMBE TUMBONI au hata BUSHA,MATENDE YA GHAFLA nk

ili utibiwe lazima ufutwe chale za wanga kwanza ndipo upatiwe dawa za kutibu ugonjwa utakao dhihiri baada ya kufutwa chale

TATIZO LA CHALE NI KWAMBA UTAKULA DAWA ZA KUONDOA SIHRI AU MAJINI bila mafanikio ima kubeba DAWA NA KUHARIBIKIA NJIANI sababu zile chale ni kama KITOA HABARI ( TRACKING ) kwa MLOGAJI wako anakuwa anajua hatua zote unazo fanya

UKIWANA SHIDA ZOZOTE ZILE USIKOSE KUNITAFUTA KWA What's App +905013460377
 
Attachments

  • chale.jpg
    chale.jpg
    14.4 KB · Views: 365
TABIBU WA KIDIGITALI KATIKA UBORA WAKO WA KUWAINGIZA KING WATU NA UONGO MTAKATIFU KISHA UNAWAPA DAWA FEKI! KAMA YULE ULIE MTAPELI USD 330 KWA DAWA FEKI. KULE KWENYE JUKWAA LA MALALAMIKO!
 
MziziMkavu miaka kama 5 iliyopita nililala nyumbani na nilipoamka nikaona nimechanjwa mkono wa kulia, sikujua kama nimechanjwa mana hazikuwa zinauma, ila baada ya kufika ofisini nikihisi mkono wa kulia unaniwasha sana, nilipoangalia ndo nikaona kama nna alama sasa nikawa najiuliza mbona sijajikuna kiasi cha kujitoa alama? Nikamfata mlinzi na kumuuliza kama anahisi zile alama ni za kujikuna akasema ye anaziona kama chale. Sasa sijui kama ni chale kweli au vipi mi niliamua kupuuza na mpaka leo sijapatwa na tatizo lolote.
Kwa uzoefu wako hizo zinaweza kuwa chale kweli? Na kama ni kweli waliniwekea za nini?
 
Kamani kweli huyo mlizni amesemanichale basi itakuw anichale za ukweli inaonekana wewe katika familia yenu kuna wachawi wanaokutumia wewe katika shughuli zao za uchawi mtafute mganga apate kukufuta hizo chala na kukupa kinga dhidi ya hao wachawi ama sivyo baadae utawedha kudhurika au ukitoka hapo kwenda mjini mwenmgine ukiwa kuna wachawi watakutumiana kukujuw akuw awewe ni punda wao wa usiku jihadhari sana.
 
mleta mada unahitaji ukombozi kwa JINA LA YESU
Siwezi Kumhtajimimi Bwana Yesu mimi wakumhitaji nia Bwana Mwenyeezi Mungu tu peke yake hana mshirika wake. Bwana Yesu mwenyewe alizaliwa na kuukuta huo uchawi ulikuwepo kabla yake yeye Bwana Yesu kzaliwa Duniani itakuwa nimuhitaji yeye kivipi? Amka wewe uchawi upo na ukitakiwa unarogwa hata kama Bwana Yesu yupo pamoja na wewe wachawi wenyewe wanaye huyo BwanaYesu na wanaroga watu itakuwa wewe ?
 
Kamani kweli huyo mlizni amesemanichale basi itakuw anichale za ukweli inaonekana wewe katika familia yenu kuna wachawi wanaokutumia wewe katika shughuli zao za uchawi mtafute mganga apate kukufuta hizo chala na kukupa kinga dhidi ya hao wachawi ama sivyo baadae utawedha kudhurika au ukitoka hapo kwenda mjini mwenmgine ukiwa kuna wachawi watakutumiana kukujuw akuw awewe ni punda wao wa usiku jihadhari sana.
Punda? Inamaana kazi yangu ni kuwatumikia? Ila Mimi siamini hayo maswala ya uchawi hivyo hata hiyo mipango yao haitawezekana mana toka wanichanje ni miaka mitano au zaidi imepita na sijawahi kuhisi tofauti yoyote ile.
 
Hili tatizo linafanana na lakwangu ila lakwangu ngoja niliundie uzi kwa sababu hii ni noma

Back
Top Bottom