Kufunga kizazi

kokwemage

Member
Nov 24, 2010
60
20
Jamani wenye uelewa wa kutosha naombeni majibu, mimi ni mama wa watoto wawili, nina miezi kama sita tangu nifunge kizazi, sasa nataka kuanza kudu aka kuishi maisha ya kindoa kwani nina mume, sasa wasi wasi wangu ni je nita confirm vipi kama kizazi kimefungwa kweli,
 
Umefunga kienyeji au hospitalini? kama hospitali inategemea ulifungaje (lakizi sidhani kama njia za kule zina tatizo), mimi nimefunga kupitia operation kubwa (2005) na nilianza ku-do baada ya mwenzi mmoja hadi leo hii sijapata tatizo lolote, na niliamua kufunga hata sijafika miaka thelathini. kifupi haina tatizo mpe mzee chakula chake.
 
nashukuru kwa maelezo yako, nilifunga kwa njia ya operation kubwa, nilikuwa nataka ma doctor waniambia kama kuna kipimo cha kufanya ili nijihakikishie, kwani doctor anaweza kukosea kufunga.
 
Back
Top Bottom