Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

Afu ww upunguzage kiherehere,ww walishawah kukusaidia nn?.Una uchungu nao nenda kwao kawasaidie lioooneee Kwanza.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّ Mungu.وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Kwan umeambiwa natetea wayahudi?siko upande wowote kwamaana Sina undugu nao hata wa rangi
 
Very informative.
Lakini hii ni baada ya Ottoman Empire kuangushwa na Brits na WW11 ndio akapewa Israel hiyo kipande ya Ardhi?

One of the most controversial topic....

Israel kwa sasa anafanya uhalifu wa kivita. na Palestine haina uongozi wa kueleweka... Hamasi inangangana toka 2006.
Hamas iliundwa na wayahudi. Ili kuiuwa PLO ya Arafat.

Sasa hawa vijana wa Hams wamechoka kuuliwa kila siku, wakubwa zao wanawaa,nia tulieni, tulieni, kumbe wale ni double agents. walivyoletewa hii mission ya juzi, ilikuwa waende wawili watatu, wakaambiza wakaelewa kuwa wanawekewa mtego wamalizwe, waksema kama ufa tufe wote, ujinga huu. Si unajuwa vijana mwendokasi hawapo Tanzania tu.

Ndicho kimbembe chote unachokiona.

Unajuwa ukishakuwa Hamas, maana yake umeshajitolea kufa, wale washajitowa mhanga siku nyingi sana "shaheed".
 
Huna akili yaani tukaribishe watu wanaoamini dini yao tu ndo ya mwanyazi mungu. Jitafakali bro ni hizi nyuzi zako
karibishaneni mnaoamini kuwa mungu wenu ni myahudi.

Dunia ina maajabu mengi sana hii. Yaani mytu mzima na akili zako unaamini kuwa mungu wako ni myahudi, yeye huyoi mungu wako wewe anakuita mbwa.

Dah. Inatisha sana.
 
Hamas iliundwa na wayahudi. Ili kuiuwa PLO ya Arafat.

Sasa hawa vijana wa Hams wamechoka kuuliwa kila siku, wakubwa zao wanawaa,nia tulieni, tulieni, kumbe wale ni double agents. walivyoletewa hii mission ya juzi, ilikuwa waende wawili watatu, wakaambiza wakaelewa kuwa wanawekewa mtego wamalizwe, waksema kama ufa tufe wote, ujinga huu. Si unajuwa vijana mwendokasi hawapo Tanzania tu.

Ndicho kimbembe chote unachokiona.

Unajuwa ukishakuwa Hamas, maana yake umeshajitolea kufa, wale washajitowa mhanga siku nyingi sana "shaheed".
Safi lakini Hamas ipo Funded na Iran na some big Arab countries ukiacha Egypt kutokana na uhusiano wao na Muslim brotherhood.

Kwamba ni kwa namna gani Wapalestina walijua kuwa imeundwa na Jews na Bado wakaipigia majority vote mwaka 2006.

Kwamba Israel inaikalia Palestine Kimabavu na lengo lao ni kufanya Ethnic cleansing kwa msaada wa Magharibi hilo halina ubishi.
 
Rudi maktaba ukatulize akili usome kwa bidii na makini uujue ukweli. Kweli inasikitisha kijana wa aina yako kuongea madudu ya ya namna hii. Na wewe ukikaa utakuta unajinadi kwamba ni msomi. LOOOHH!

MUNGU SAIDIA HIKI KIZAZI CHA WATANZANIA 😔🙏🏾
Toa upuuzi hapa
Usomi unaingiliana vipi na mada hapa?
Yaani niwe au nisiwe msomi we inakuhusu nn dada?
Halafu nikiwa msomi u think Kwa comment yako ndo inaondoa usomi wangu?😅

Naona tunapangiana Cha kupost
Kila mmoja ana uhuru wa kutoa maoni yake hapa ht km yanakukera tusipangiane Cha kupost!

Narudia Tena,ardhi sio ya Palestine ht wao wanajua ndo maana Wana fujo haiingliiania na usomi !
Bear that in ur mind!
 
Aunty tayana akili huna, na hujui uliongealo. Shule yako na usomi uchwara wako haujakusaidia chochote.
 
Kuwakaribisha sio ishu Ila historia inasemaje?

Tulitumia Rasilimali zetu kuwasaidia SA kupambana na Ubaguzi wa rangi, Leo tunazawadiwa mauaji kwa Ndugu zetu walioko huko.

Tulisaidia nchi za mstari wa nyuma kupata Uhuru Leo hata kwenye historia hatusomeki popote.

Tulifanya kwa nafasi yetu Mungu atatulipa thawabu kwa Sasa tujenge nchi yetu
 
Back
Top Bottom