Kufuatia urafiki uliotukuka wa Nyerere na Yasser Arafat. Je, Tanzania hatuwezi kuwahifadhi Wapalestina wanaofurushwa Gaza?

Kuna issue Kati ya Iran, Saudi, Qatar ,UAE, Egypt. Nani awe kiongozi, mbabe, juu pale middle east.

Ndio maana wako pande tofauti kuhusu Yemen, Syria, Sudan, Libya, Palestine, Iraq, Afriganistan, Polisalio.

Pia kuna issue ya kihistoria kati ya Morroco na Algeria na Tunisia.

Mauritania weusi wote ni watumwa kabisa. Ni nchi moja inayoendeleza utumwa hadi leo kwa ngozi nyeusi. Yaani unarithi utumwa, kazi ya baba yako, babu yako.
 
Wale ambao mungu wao ni myahudi. Msijidqnganye kufikiri Palestina ilikuwa ni nchi iliyokuwa haina wenyewe kabla ya 1948.

IMG-20231013-WA0048.jpg
IMG-20231013-WA0047.jpg
IMG-20231013-WA0046.jpg
IMG-20231013-WA0045.jpg
IMG-20231013-WA0044.jpg
IMG-20231013-WA0043.jpg
IMG-20231013-WA0042.jpg
IMG-20231013-WA0041.jpg
IMG-20231013-WA0040.jpg
IMG-20231013-WA0039.jpg
IMG-20231013-WA0038.jpg
IMG-20231013-WA0037.jpg
IMG-20231013-WA0036.jpg
IMG-20231013-WA0035.jpg
IMG-20231013-WA0034.jpg
IMG-20231013-WA0033.jpg
IMG-20231013-WA0032.jpg
IMG-20231013-WA0031.jpg
IMG-20231013-WA0030.jpg
IMG-20231013-WA0048.jpg
IMG-20231013-WA0047.jpg
IMG-20231013-WA0046.jpg
IMG-20231013-WA0045.jpg
IMG-20231013-WA0044.jpg
IMG-20231013-WA0043.jpg
IMG-20231013-WA0042.jpg
IMG-20231013-WA0041.jpg
IMG-20231013-WA0040.jpg
IMG-20231013-WA0039.jpg
IMG-20231013-WA0038.jpg
 
Tanzania especially Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi.

Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat hatuwezi kuwahifadhi ndugu zetu Wapalestina Hapa Tanganyika?

Ninapoandika tayari Israel imetoa saa 24 Gaza Kaskazini pasiwepo kiumbe chochote.

Jumaa kareem!

Kwako FaizaFoxy
Wenzio wameandika haya 👉 "نصر أو شهادة"

Huenda ukawa unawakebehi kwa madhila wanayopitia au vifo, lakini bwana yohana ni nani atakae dumu juu ya mgongo huu wa ardhi? Walifurushwa kwa mirisasi waislam mwembechai Maiti zao zikaburuzwa barabarani lakini yuko wapi mzee Mkapa? Tuweke Akiba
 
imagine, palestina inapigwa, Jordan yupo pale anachekelea tu, lebanon najua hana nguvu, misri anakenua mimeno tu, saudia imefyata mkia kwanza inapenda kuungana na israel, iran pekee ndio walau anasimamisha sharubu hata kama wanamchukia mno kwasababu ni shia, na yeye binafsi hana uwezo kupigana na Israel, marekani, ulaya na UK peke yake. anajua kuwa iran inaweza kugeuka magofu kama yale ya syria na bagdad.
Kweli, Waarab ni watu wa hajabu sana....wao kazi yao ni unafiki tu na chuki ambayo wanakuja kuwarithisha ndugu zetu hapa Tanzania kwa kupitia dini na kuwadanganya kuwa Allah kasema hivi au vile wakati hakuna ukweli wowote ule. Ukiangalia watu wanafiki hapa Tanzania haswa wanaume wengi ni waislam wasio na elimu na kazi. Wakiona wenzao wanaamka asubuhi kwenda kazini wanaanza kuwasengenya na kuwachukia, sasa jiulize - wakati wenzako wanakwenda shule wewe ulikuwa unafanya nini? Wengi wao walikuwa hawataki shule na serikali gani ama taasisi gani itakuajili kama hauna elimu ya maana zaidi ya kukariri haya za dini zisizo na maana yeyote maishani mwako? Ndugu zangu waislam hamkeni, hii dini inawalostisha sana.
 
FaizaFoxy, nimeona hapo mtaa wa Dodorosa alipopita Yesu akibeba msalama, pako vilevile tangu miaka 2000 iliyopita, majengo hayo hayajajengwa na mwarabu, yalijengwa na Warumi (dola ya kirumi) yana miaka zaidi ya 3000 hapo mwarabu bado hajahamia. Wayahudi waliondoa kwenda uhamishoni miaka 400 na hapo ndipo wafilisti (wapalestina) wachache wakavamia, majengo hayo waliyakuta yamejengwa sio tu hapo middle east, yamejengwa kwenye dola zote za kirumi na yanafanana hadi mitaa. waarabu ambao sasa ni wapelestina walivamia majengo ambayo tayari yapo na walivamia wakati uleee miaka uislam ulipokuwa unasambaa kanda za hispania, ureni, meditelenean yote na kaskazini (misri ambayo ilikuwa christian).

kwahiyo, usijidanganye kwamba wapalestina walikuwa na ustaarabu wowote, na kama walifagia mitaa waliikuta imejengwa. na hiyo picha ukiangalia ilipigwa kipindi cha utawala wa waingereza hata hayo magari ni ya kiingerezan na waingereza ndio walitaja jina hapo paitwe palestina. historia hiyo ipo hadi leo pale kwa malkia na mfalme uingereza.
 
Tanzania especially Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi.

Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat hatuwezi kuwahifadhi ndugu zetu Wapalestina Hapa Tanganyika?

Ninapoandika tayari Israel imetoa saa 24 Gaza Kaskazini pasiwepo kiumbe chochote.

Jumaa kareem!

Kwako FaizaFoxy
Acha kujipendekeza. Kwani hii nchi mali ya Nyerere wako binafsi?
 
Ile sio ardhi Yao hata wao wanajua!
24 hrs ,watafute pakwenda.
Israel wataishi tu ,Cha mhimu ardhi irudi kwao.
Rudi maktaba ukatulize akili usome kwa bidii na makini uujue ukweli. Kweli inasikitisha kijana wa aina yako kuongea madudu ya ya namna hii. Na wewe ukikaa utakuta unajinadi kwamba ni msomi. LOOOHH!

MUNGU SAIDIA HIKI KIZAZI CHA WATANZANIA 😔🙏🏾
 
Irqn ndio yuko independent, huru, hategemei sana technologia za kijeshi za Magharibi kidogo atategemea Urussi. Illa ana teknologia zake binafsi pia.

Saudi, Qatar, UAE wana kambi kubwa za kijeshi kutoka Magharibi.

Misri, Israel wanapewa misaada mikubwa na kuuziwa silaha nyingi kutoka Magharibi.

Algeria mafuta yote yanaenda Spain, France viongozi wanalindwa na Mfaransa. Morocco mfalme analindwa na Mfaransa. Tunisia kidogo wanajitambua.
 
kama unadhani FARESTINE ITAKUJA KUFUTIKA DUNIANI UNAJIDANGANYA.
Narudia tena UNAJIDANGANYA.
na endeleeni kuomba FARESTINE haendelee kupigwa lakini siku akija kushinda ndipo mwisho wa dunia utakapokuwa umekaribia
FARESTINE labda hatafutika kwa sababu hatumjui huyo FARESTINE wako. Ila Palestina itafutika. Na bado hamjasema kuhusu hao ndugu zenu wehu. Walianzisha moto na unawaunguza wenyewe. Watachapwa mpaka waite maji Mma
 
Arafat alikuwa hana msimamo wa kigaidi.
Alikuwa vizuri, walimuua kwa sumu mbaya. Alikuwa na msimamo wa kukaa na Israel. Wakati ule nafikiri Hamas hawakuwa na nguvu kubwa kama leo.

Mkewe Mfaransa nafikiri bado anafatilia alipewa nini?

Alitibiwa Ufaransa hadi leo serikali ya Ufaransa hawana uhakika sumu iliyomuua. Viongozi wa Israel walisema watamuondoa, haukupita mwaka afya yake ikayumba.
 
Tanzania especially Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi.

Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat hatuwezi kuwahifadhi ndugu zetu Wapalestina Hapa Tanganyika?

Ninapoandika tayari Israel imetoa saa 24 Gaza Kaskazini pasiwepo kiumbe chochote.

Jumaa kareem!

Kwako FaizaFoxy
Kwanini wasiende DUBAI?
 
Kweli, Waarab ni watu wa hajabu sana....wao kazi yao ni unafiki tu na chuki ambayo wanakuja kuwarithisha ndugu zetu hapa Tanzania kwa kupitia dini na kuwadanganya kuwa Allah kasema hivi au vile wakati hakuna ukweli wowote ule. Ukiangalia watu wanafiki hapa Tanzania haswa wanaume wengi ni waislam wasio na elimu na kazi. Wakiona wenzao wanaamka asubuhi kwenda kazini wanaanza kuwasengenya na kuwachukia, sasa jiulize - wakati wenzako wanakwenda shule wewe ulikuwa unafanya nini? Wengi wao walikuwa hawataki shule na serikali gani ama taasisi gani itakuajili kama hauna elimu ya maana zaidi ya kukariri haya za dini zisizo na maana yeyote maishani mwako? Ndugu zangu waislam hamkeni, hii dini inawalostisha sana.

وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ قُلْ إِنَّ هُدَى اللَّهِ هُوَ الْهُدَىٰ ۗ وَلَئِنِ اتَّبَعْتَ أَهْوَاءَهُمْ بَعْدَ الَّذِي جَاءَكَ مِنَ الْعِلْمِ ۙ مَا لَكَ مِنَ اللَّهِ مِنْ وَلِيٍّ وَلَا نَصِيرٍ

Al-Baqarah 120
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.
 
Tanzania especially Bara kuna eneo kubwa tu ambalo halitumiki hasa mikoani Tanga na Lindi.

Je, katika kuenzi Urafiki wa baba wa taifa Mwalimu Nyerere na mpigania Haki za Palestine Yasser Arafat hatuwezi kuwahifadhi ndugu zetu Wapalestina Hapa Tanganyika?

Ninapoandika tayari Israel imetoa saa 24 Gaza Kaskazini pasiwepo kiumbe chochote.

Jumaa kareem!

Kwako FaizaFoxy
Afu ww upunguzage kiherehere,ww walishawah kukusaidia nn?.Una uchungu nao nenda kwao kawasaidie lioooneee Kwanza.
 
Back
Top Bottom