Kufa kwa umasida hosea, lowasa je nao washiriki

mbwembwe

Member
Jun 19, 2009
14
7
Inapata mwaka na nusu sasa toka taasisi isiyo ya kiserikali iliyokuwa inatowa huduma kwa jamii ife kabisa , inasemekana hosea, hausika kwa tuuma za kufirisi taasis hiyo kwa vile uchukua muda mrefu kutowa majibu ya kufa kwa taasisi hiyo,
 
Hv kuna mtu anamwelewa ,mwenzetu huyu?
Mbwembwe, jaribu kuweka sawa thread yako. Pia kuna makosa kadha ya manen.,jaribu kupitia tena na u`edit`
 
Amekuja na Mbwembwe na baada ya kuzimaliza atarudi kuja kuelezea vyema hakuna neno tungoje arudi tena .
 
unajuwa uyu mbwembwe ?????????????????????????????ana mengi na itakuwa kaguswa namna moja hama nyingine, ila kwa habari tulizonazo serikali ilishaanza uchunguzi na unakaribia kukamilika, hata mkurugenzi wa taasisi hiyo alishahojiwa /////////////////////////////// lazima ufisadi mwaka huu uishe kwa kila kona
 
hahahahhahaha...............hakuna lisilokuwa na mwanzo likakosa kuwa na mwisho????????????????? ukitaka kuongea UFISADI UMASIDA. itakuwa makosa kama utawasahau wale wakuu wa zile department 4
1.
2.
3.
4.
 
Sasa hebu utufahamishe - Umoja wa Matibabu Sekta Isiyorasmi Dar es Salaam - UMASIDA - inahusu vipi na Hosea na Lowassa...
 
Back
Top Bottom