hata wasira naye anasema mchakato haukua wa haki sasa cha kujiuliza tume hii hii ilikutangaza ww mshindi miaka miaka mitano iliyopita ukaenda bungeni ukapiga hela lakini leo ikitangaza umeshindwa haiko huru. hopeless. mbowe katangazwa mshindi hai na tume hiyo hiyo anyaoilaumu kwa matokeo ya uraisiTume hata iwe huru vipi, waafrika bado tuta undermine kazi zake. Watu wanaoshindwa hawapendi kukubali hata siku moja. Hata ukiweka electronic voting, bado watu watalalamikia system yenyewe. Kimsingi, inabidi tuwe tunapiga kura za wazi za kupanga foleni nyuma ya mgombea; pengine wale wanaoshindwa watakubali.
Matokeo yako majimboni na kwenye vituo. Watu wana scan form za tume halafu wana insert namba ili waonekane madai yao yako credible. Forensics can show that hizo karatasi wanazokuja nazo ni za kujitengenezea. Ila sasa tukianza kushughulika na mambo hayo, process nzima inaweza kuchukua miaka kukamilika.
Nahisi waafrica we are evil in nature. hatutaki kukubali ukweli!